Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
Kwa mtazamo wangu Rashford ,Bruno,Garnacho na Casermilo watamfukuzisha huyu kocha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Bruno piaSiku Rashford akiondolewa United, nitafurahi sana kwa kweli.
Amorin akiwa anampanga regularly, nitajua naye hatakuwa na jipya kama akina EtH tu.
Huo mgomo kwa makocha zaidi ya 3 kwann hao wachezaji hawa ondolewiTen hag hakuwa Mwl mbaya tatizo wachezaji waliamua kamgomo baridi.Hii shida imekuwepo kipindi kirefu sana hasa kwa wachezaji seniors.
Hilo ndio tatizo kubwa sana.Huo mgomo kwa makocha zaidi ya 3 kwann hao wachezaji hawa ondolewi
Sasa wachezaji wanagoma tuu makocha watafukuzwa mpka linHilo ndio tatizo kubwa sana.
Mchezaji kama Rashford alitakiwa kuuza siku nyingi.
R.R aliwaambia wawaaondoe wote kosa la ten hag ni kumbakisha Rushford,dalot,Bruno.Designer wa statements hizo yupo vizuri. Ambacho hatujui ni kama biashara ya kuajiri makocha itaishia hapa au itaendelea. Maana shida nyingine kubwa ipo kwa wachezaji. Wanafanya kama migomo hivi. Amorim aondoe wote, aache akina Amad tu.
Kosa lake hapo ni Rushford na Bruno.. hawo wengine aliishawawea benchTimu bado ina rashford,evans ,eriksen ,lindelof 😂😂badilikeni pimbi nyie mna ng'ang'ania wachezaji
Amad yupo vizuri sana.Kwa ubora wa huyu AMAD aka MESSI, ni dhahiri sasa RASHFORD na GARNACHO watakuwa wanapokezana kucheza na ANTHONY akae tu nje asubiri kati yao kupata majeruhi/kadi ndio acheze.