16 year old defender Godwill Kukonki, involved again by Amorim as part of Man United squad to face Arsenal.

Lisandro Martinez is suspended, Luke Shaw injured and Kukonki is part of #MUFC squad.
 
Nyumbuzi mkiwa mnafikiria namna gani hii dhahama tunaikwepa

Flano yupo bize kutoa mbinu za kuwapata mishangazi (wadada waliomzidi umri)
[emoji2][emoji2][emoji2]

 
Tazama hii, hapo awali walishindwa kupata ushindi zidi ya prophet amorim. Game ya leo hawato amini watakacho kiona.


zandaaani kabisa inasemekana prophet ameomba haya mbele ya tajiri mwembamba...

"asipo ifunga arsenal gori zaidi ya 2, kabla ya ku resign atundikwe uchi pale Carrington training ground kwa muda wa wiki 3 sambamba na kunyolewa kipara"

Inasemekana lakini!!!
 
Kikosi cha watoto wa bwenyenye Sir Jim barobaro boys kinashuka kwenda kuwakanda Wenger orphans hawa.

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁

My prediction

Arsenal1 vs Manchester united 3

Leo ni leo asie na mwana abebe jiwe.

Leo tunawakanda Wenger orphans baadae tutaona mengi sana leo utasikia "Arteta out" Arteta must go😁😁

Kiufupi leo itakuwa
 

Attachments

  • 20241204_203957.jpg
    84.3 KB · Views: 5
Na muhindi wa Betting ndio anawapiga hela kwa akili za hivi wajinga nyie.
 
Utabiri wangu Arsenal 1 - 2 Manchestet united.
Siendi kuingalia hiyo game, lakini kesho mutaniambia.
GGMU
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nyumbuzi mkiwa mnafikiria namna gani hii dhahama tunaikwepa

Flano yupo bize kutoa mbinu za kuwapata mishangazi (wadada waliomzidi umri)
[emoji2][emoji2][emoji2]

View attachment 3169016
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Subiri kikishawaramba tunawaomba msilikimbie jukwaa lenu, leo ni siku yetu ya kupunguza gape la points3 dhidi ya Arsenyau.
 
Utabiri wangu Arsenal 1 - 2 Manchestet united.
Siendi kuingalia hiyo game, lakini kesho mutaniambia.
GGMU
Kuna UGARTE na MALACIA wameanza, ushindi utakuwa kama bahati tu. AMAD nadhani atakuwa anaumwa au ana fatigue, sio mtu wa kuanzia benchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…