allypipi
JF-Expert Member
- May 10, 2020
- 3,233
- 10,563
Yani Wenger tu babu yenu alishindwa nyie mtaweza kweli.Leo zinaanzia 4 ni ushirikiano wenu ndio unahitajika zaidi. Hakuna litakalo shindikana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani Wenger tu babu yenu alishindwa nyie mtaweza kweli.Leo zinaanzia 4 ni ushirikiano wenu ndio unahitajika zaidi. Hakuna litakalo shindikana
LAbda bingwa wa kudangaMan u bingwa
Uchawi unaanzaga HIvi Sasa.Leo apigwe. Nimeweka robo tatu ya ukwasi nilionao Kwa arsenal
Na muhindi wa Betting ndio anawapiga hela kwa akili za hivi wajinga nyie.Nyumbu game ya leo inabidi mjiandae kiisaikolojia na muwe wapile sana.
Yatakua makosa makubwa sana kumpima Amorim katka game ya leo
Viwango vya wachezaji wenu kwenye game ya leo, haitakua kipimo sahihi kuwajaji, rashford anakua muhanga sana
Amad ni mchezaji mzuri sana lakin sio kwa game ya leo
NB
Mkitaka kupisha, hivi ndio tutakua tunatembea. Na kama mnavyojua hamna kipa goliniView attachment 3168676
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tazama hii, hapo awali walishindwa kupata ushindi zidi ya prophet amorim. Game ya leo hawato amini watakacho kiona.
View attachment 3169035
zandaaani kabisa inasemekana prophet ameomba haya mbele ya tajiri mwembamba...
"asipo ifunga arsenal gori zaidi ya 2, kabla ya ku resign atundikwe uchi pale Carrington training ground kwa muda wa wiki 3 sambamba na kunyolewa kipara"
Inasemekana lakini!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Subiri kikishawaramba tunawaomba msilikimbie jukwaa lenu, leo ni siku yetu ya kupunguza gape la points3 dhidi ya Arsenyau.Nyumbuzi mkiwa mnafikiria namna gani hii dhahama tunaikwepa
Flano yupo bize kutoa mbinu za kuwapata mishangazi (wadada waliomzidi umri)
[emoji2][emoji2][emoji2]
View attachment 3169016
Kuna UGARTE na MALACIA wameanza, ushindi utakuwa kama bahati tu. AMAD nadhani atakuwa anaumwa au ana fatigue, sio mtu wa kuanzia benchi.Utabiri wangu Arsenal 1 - 2 Manchestet united.
Siendi kuingalia hiyo game, lakini kesho mutaniambia.
GGMU