[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kamdomoooManjesta mmeshakuwa mteja wetu
Kama kunywa maji tu ,tunajipigia tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Arteta vs Manjesta
Mechi 10
Win 7
Draw 1
Lost 2
Mlimzoea Wenger anawachekea ,
Arteta hacheki na manjesta,ni anawabonda tu
Huyu nae....Bhangi mbaya sana,watu mmeshinda Kwa set pieces ila midomo imezidi wakati ligi mara ya mwisho arsenal amebeba 2005.
Tumemfukuza ten hag ambaye amecheza fainali 3 na kubemba makombe mawili 2, arteta akiwa hana kombe hata moja la maana.
Liverpool wamepata kocha mpya baada ya klopp kuondoka,lakini unaona kabisa ndani ya msimu wa kwanza kocha wao anaonesha uwezo wake wa kutaka kubemba makombe makubwa, na lazima atabeba kabla ya arteta..
Mashabiki wa arsenal Wana midomo sana, utafikiria timu yao ni bora sana, wakati niya kawaida kama Nottingham forest ana UEFA champions mbili nyie hata moja hamna kazi ni midomo tu ngoja tuone kama mtachukua ligi Kwa set pieces
Ila kuwatwanga Man U huwa kuna raha sana...mechi ya nne mfululizo tukikutana ni makonzi ya ulimi tu mnapata.....safari hii mkapigwa kwa style mpya ya Kona goliπ€ π€ π€ ....Kuna kipindi cha mzee Wenger Ferguson alishawahi kutupangia timu yake kuanzia namba 2 mpk 11 wte ni mabeki tupu na mkatufunga ile iliniuma sana.....Sasa kibao kimegeuka....bdo January tuna jambo letu na nyny tena.....kajifundisheni kuzuia Kona tena upya halafu mje vinginevyo mtatulaumu tena tu majirani[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kamdomooo
Kamdomo ndio kanakowaponza miaka 20 bila Epl, kamdomo kamewafanya toka timu ianzishwe hakuna kombe lolote la ulaya sio Uefa, Europa wala Conference league mloshinda, kamdomo ndio kamemsababisha Arteta msimu wa 8 huu na Arsenyo hakuna kombe lolote aliloshinda zaidi ya Mwanafa.
Kamdomooo, kamdomooo, kamdomooo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] haka nako pia ni kamdomoooIla kuwatwanga Man U huwa kuna raha sana...mechi ya nne mfululizo tukikutana ni makonzi ya ulimi tu mnapata.....safari hii mkapigwa kwa style mpya ya Kona goli[emoji1783][emoji1783][emoji1783]....Kuna kipindi cha mzee Wenger Ferguson alishawahi kutupangia timu yake kuanzia namba 2 mpk 11 wte ni mabeki tupu na mkatufunga ile iliniuma sana.....Sasa kibao kimegeuka....bdo January tuna jambo letu na nyny tena.....kajifundisheni kuzuia Kona tena upya halafu mje vinginevyo mtatulaumu tena tu majirani
Tatizo ni midomoHuyu nae....
Bro kuwa na heshima na Chelsea hapo wewe ungejitoa huna dalili zozote za kubeba epl hata kwa miaka 10Chelsea na united tuna chukua EPL kabla yenu.
He who's laugh the last, laugh the best
chura kabisaWatoto wa bwenyenye Sir Jim hawa hapa kutandika hawa msitu.
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha π π π
My prediction
Manchester United 3 vs msitu 1
Tutapiga kama ngoma.
View attachment 3171467
uyo apo nyumbani kashafika arudi kufanya Nini wewe huoni kaaza kunenepa kwa kula kuku wa Jiji la Manchester onana mshamba sana fara uyuWarudishieni Sporting kocha wao