Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Manjesta mmeshakuwa mteja wetu

Kama kunywa maji tu ,tunajipigia tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Arteta vs Manjesta

Mechi 10
Win 7
Draw 1
Lost 2

Mlimzoea Wenger anawachekea ,

Arteta hacheki na manjesta,ni anawabonda tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kamdomooo
Kamdomo ndio kanakowaponza, miaka 20 bila Epl, kamdomo kamewafanya toka timu ianzishwe hakuna kombe lolote la ulaya sio Uefa, Europa wala Conference league mloshinda, kamdomo ndio kamesababisha Arteta msimu wa 8 huu na Arsenyo hakuna kombe lolote aliloshinda zaidi ya Mwanafa.
Kamdomooo, kamdomooo, kamdomooo.
 
Bhangi mbaya sana,watu mmeshinda Kwa set pieces ila midomo imezidi wakati ligi mara ya mwisho arsenal amebeba 2005.

Tumemfukuza ten hag ambaye amecheza fainali 3 na kubemba makombe mawili 2, arteta akiwa hana kombe hata moja la maana.

Liverpool wamepata kocha mpya baada ya klopp kuondoka,lakini unaona kabisa ndani ya msimu wa kwanza kocha wao anaonesha uwezo wake wa kutaka kubemba makombe makubwa, na lazima atabeba kabla ya arteta..

Mashabiki wa arsenal Wana midomo sana, utafikiria timu yao ni bora sana, wakati niya kawaida kama Nottingham forest ana UEFA champions mbili nyie hata moja hamna kazi ni midomo tu ngoja tuone kama mtachukua ligi Kwa set pieces
Huyu nae....
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kamdomooo
Kamdomo ndio kanakowaponza miaka 20 bila Epl, kamdomo kamewafanya toka timu ianzishwe hakuna kombe lolote la ulaya sio Uefa, Europa wala Conference league mloshinda, kamdomo ndio kamemsababisha Arteta msimu wa 8 huu na Arsenyo hakuna kombe lolote aliloshinda zaidi ya Mwanafa.
Kamdomooo, kamdomooo, kamdomooo.
Ila kuwatwanga Man U huwa kuna raha sana...mechi ya nne mfululizo tukikutana ni makonzi ya ulimi tu mnapata.....safari hii mkapigwa kwa style mpya ya Kona goli🤠🤠🤠....Kuna kipindi cha mzee Wenger Ferguson alishawahi kutupangia timu yake kuanzia namba 2 mpk 11 wte ni mabeki tupu na mkatufunga ile iliniuma sana.....Sasa kibao kimegeuka....bdo January tuna jambo letu na nyny tena.....kajifundisheni kuzuia Kona tena upya halafu mje vinginevyo mtatulaumu tena tu majirani
 
Ila kuwatwanga Man U huwa kuna raha sana...mechi ya nne mfululizo tukikutana ni makonzi ya ulimi tu mnapata.....safari hii mkapigwa kwa style mpya ya Kona goli[emoji1783][emoji1783][emoji1783]....Kuna kipindi cha mzee Wenger Ferguson alishawahi kutupangia timu yake kuanzia namba 2 mpk 11 wte ni mabeki tupu na mkatufunga ile iliniuma sana.....Sasa kibao kimegeuka....bdo January tuna jambo letu na nyny tena.....kajifundisheni kuzuia Kona tena upya halafu mje vinginevyo mtatulaumu tena tu majirani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] haka nako pia ni kamdomooo
 
Kijukuu cha vasco da gama kimesema nawajua wachezaji wangu ipo siku itatokea dhahama🤣🤣🤣🤣

Anwshakaa nao mazoezini anajua timu imeoza
 
Watoto wa bwenyenye Sir Jim hawa hapa kutandika hawa msitu.

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁

My prediction
Manchester United 3 vs msitu 1

Tutapiga kama ngoma.
1733588327116.jpg
 
Mlishaambiwa hakunaga muhindi akawa kocha wa football!! mkakaza fuvu!
Haya sasa ona jinsi mnavyodhalilishwa tena mpo nyumbani,mbele ya wake zenu....
 
Back
Top Bottom