Huyo ni muandishi wa habari, ina maana kuna mtu wa ndani amemvujishia kikosi tokea jana na yeye akaamua kupost kupitia account yake ya facebook
Hii ndio sababu huyo dogo Ganarcho na Rashford hawapo kabisa kwenye bench leo?
 
Amorim si mgeni tena kwenye kikosi hiki na ipo wazi ya kwamba Dalot na mfumo wa wingback ameshindwa kabisa kucope nao bado sijajua ni sababu ipi hasa ya kiufundi inayofanya asikae benchi

pili Mazroui kucheza kama beki wa kati ktk mfumo wakati anakuwa productive zaidi akiawa kama wingback{except mechi ya leo}
 
Mount ameanza kikosini, wazee tuongezeni angalau pesa kidogo kwa Mount mashine ya Kazi. Acheni ubahili basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…