Wachambuzi kesho kazi wanayo kwenye kusifiasifia 😂 wachambue watakavyochambua ila sisi mashabiki wa Chelsea hatutaki kelele za kutaka ubingwa.
 
Shida ya utd ni kule mbele, tuna wachezaji wa hovyo wasio wapambanaji yaani unakuta mchezaji leo yuko vizuri kesho hamna kitu, allikuwepo Martial, Lindgad na Rashford wakaondoka wawili akabaki mmjoja, sasa kaibuka Garnacho . Kwa timu yenye kutaka matokeo hawa wawili hawapaswi kuanza ni bora wauzwe au waanzie sub. Leo Kocha kanifurahisha sana kuwatema naona kachoshwa nao.
 
KUANZIA LEO.

[emoji117] Marufuku jezi ya Man United kufuliwa kwa maji ya chumvi au sabuni ya magadi.

[emoji117]Marufuku shabiki yeyote wa Man United kusimama kwenye daladala, kama siti zimeishia akalie hata siti ya dereva.

[emoji117]Marufuku kwa shabiki yeyote wa Man United kuongozana na mtu alievaa jezi ya Arsenyau, kufanya hivyo ni kuidhalilisha jezi nyekundu na nembo ya club.

[emoji117] Jua likishazama ni marufuku shabiki wa Utd kutembea peke yake, sogea kituo cha polisi cha karibu utapatiwa ulinzi mpaka sehemu unayoenda, kuna watu wana husda sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…