Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali mkuu watabadilika hata Chelsea ilikuwa hivi hivi hahaha.Hii timu inapaswa wafagie kuanzia kipa had striker kuanza upya sio dhambi hawa ni sawa na wanafunzi wenye IQ ndogo hata uwaletee malaika awafundishe hawawez faulu.
Hahaha yaani wee acha tu.Jiji la Manchester linapitia magumu mno
Mmeingia kwenye mchezo au bado tusubiri?Taratibu tutaingia kwenye mchezo, Bora ufungwe lakini uonekane timu inajaribu kutafuta kitu gani, wachezaji wetu wote walianza chini kabisa, sijui hawakuwa na mood ama vipi. Mmeona Sasa Kuna wachezaji taratibu utawaona hamna kitu lakini kipindi cha ETH walidekezwa...Sasa hivi tutakuwa direct kutafuta wachezaji watakaofaa na huu mfumo, quality unazihesabu Sasa hivi, hii ni ishara nzuri kwetu.
Punda kabisaSielewi mnachoshangilia ni nini 😅😅
Magoli yote yamefungwa kwa miscalculations za kipa wa spurs hakuna goli lililotokana na move wala created chances. Halafu mtu anakwambia sasa hivi tuko vizuri 😅😅
Subirini disappointments punda kabisa
Hii timu inapaswa wafagie kuanzia kipa had striker kuanza upya sio dhambi hawa ni sawa na wanafunzi wenye IQ ndogo hata uwaletee malaika awafundishe hawawez faulu.
Mkimda mnatupigia kelele kuwa mmeanza ligi.Hii timu inapaswa wafagie kuanzia kipa had striker kuanza upya sio dhambi hawa ni sawa na wanafunzi wenye IQ ndogo hata uwaletee malaika awafundishe hawawez faulu.
Tafuteni kipa wa kueleweka
Sio kocha?Tafuteni kipa wa kueleweka