Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Baada ya kuwafunga wale wagonjwa wenzenu man city mkaona mmejipata sana kumbe ni wapuuzi tu Nyie......na bado Mwaka huu hata Uefa conference hamuendi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutaingia tu kwenye mchezo, ni suala la kusubiri tu. Tunataka kuona makapi tuyaondoe yote.Mmeingia kwenye mchezo au bado tusubiri?
Mashabiki wa utd tuwaombe msamaha makocha wote walipita hapo sio makes yao labda tu kama wao ndio waliohusiku kutuletea hawa wachezaji. Mashibiki inapaswa wagome kwenda uwanjani na kushinikiza timu yote mikatava ivunjwe tusajili upya United inafabase kubwa sana duniani tupo tayari kuchangia hela ya kuvunja mikataba ya hawa ngedere.
Hizo ni excuse tu, ila mnagongwa kinyama.Ndio sababu Amorim alitamani aje baada ya msimu huu kuisha, kwa sasa binafsi siwezi kumlaumu kocha. Hata uongozi wa timu pia ulifanya makosa, wangeacha Ruud aendelee mpaka mwisho wa msimu.
Hahaaaaaaaaaaaa.....Mmeingia kwenye mchezo au bado tusubiri?
Mkuu usiseme hivyo, haya yatapita tuTafuteni kipa na kocha wa kueleweka NYUMBU nyie.
Usiseme hivyo sisi wote watanzania, tulinde amani iliyopo.Watapakatwa mpaka waite maji mmmaa..