Hii timu inapaswa wafagie kuanzia kipa had striker kuanza upya sio dhambi hawa ni sawa na wanafunzi wenye IQ ndogo hata uwaletee malaika awafundishe hawawez faulu.
Usijali mkuu watabadilika hata Chelsea ilikuwa hivi hivi hahaha.

Kina Saint Anne na uumbwaaa Chaliifrancisco yatabaki kulia balaa.

Nyau de adriz
 
Mmeingia kwenye mchezo au bado tusubiri?
 
Hii timu inapaswa wafagie kuanzia kipa had striker kuanza upya sio dhambi hawa ni sawa na wanafunzi wenye IQ ndogo hata uwaletee malaika awafundishe hawawez faulu.
Tuna wachezaji wawili tu wanaopaswa kuichezea hii timu, ni Amad na Ugarte.

Tangu nimeanza kuishabikia hii timu sijawahi kuona ikiwa na wachezaji wa aina hii. Bora hata ile Manchester ya akina Fellaini.

Beki anakaba kwa macho kuanzia akifika kwenye box ndio anamchapa mtu kiatu we uliona wapi hiyo akili.

Haiwezekani wachezaji wote wanacheza kama wana msongo wa mawazo.😂😂
 
Mashabiki wa utd tuwaombe msamaha makocha wote walipita hapo sio makes yao labda tu kama wao ndio waliohusiku kutuletea hawa wachezaji. Mashibiki inapaswa wagome kwenda uwanjani na kushinikiza timu yote mikatava ivunjwe tusajili upya United inafabase kubwa sana duniani tupo tayari kuchangia hela ya kuvunja mikataba ya hawa ngedere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…