Manjesta alikuwa anabebwa sana
Mimi naona Bado yale machungu hamjayalipia inabidi muende kabisa championship mkacheze na kina derby County,waycombe , Wimbledon
Ndio level zenu ,msimu huu mlicheza na katimu ka championship mkakapiga sijui 7 zile ,wale ndio level zenu sasa
Ni kweli tetes zinasema hivo, ile kesi mancity hachomoki ,majibu ya mwisho yatatoka kabla ya march 2025Hiyo ya Man City ni kweli, ama una changamsha kijiwe?
HUyo mchezaji hana hata thamani ya pauni mil. 45 lkn wasenge wakanunua pauni mil 100..ama kweli ten haag na genge lake matapeli wahuni wakubwa😂😂Lile Dili la Anthony ilikuwa michezo ya ETH🤣🤣
Yule jamaa alikuwa tapeli bhana🤣🤣
ETH alikuwa muhuni sana yule dingiHUyo mchezaji hana hata thamani ya pauni mil. 45 lkn wasenge wakanunua pauni mil 100..ama kweli ten haag na genge lake matapeli wahuni wakubwa😂😂
Hamisi unapiga sana spana!😂😂🙌Amorini akitaka kupiga pesa ,awaambie mabosi wa manjesta,kwa mfumo wake anataka aletewe Fulani na Fulani ,na hao wachezaji acheze game kama ETH wawe Bei ya €60-100m
Manjesta walivyo desperate watapambana watawaleta
Nakumbuka ETH alisema manjesta inamuhitaji Anthony Santos makudubela kuliko yeye anavyowahitaji, mabosi wa manjesta wakakwea pipa Hadi Ajax wakatoa €100m🤣🤣
😂😂🙌 wapumzishe kidogo, washaelewa!June 1 Atalanta na vyanzo vingi vya Italy vilisema Atalanta wapo tayari kupokea €45m kwa Hojlund Mzee wa WWE,
ETH akasema msinitanie
June 15 akamwambia Hojlund avunje mkataba na wakala wake Kisha ajiunge kwenye kampuni la uwakala la SGE ambalo linaongozwa na mtoto wa ETH
August 5 , Manjesta wakamnunua hojlund kwa total package ya €85m
ETH na genge lake wakawa wamepata faida ya €40m
Hapo sijaweka Agent fee ambayo Huwa inafika Hadi €10m
HII MICHEZO INAFANYIKA SANA SIMBA NA YANGA
View attachment 3186541
Hizo biashara hazina tofauti na kama za kina mwinyi zahera na usajili wa kina makambo au kindoki😂😂😂June 1 Atalanta na vyanzo vingi vya Italy vilisema Atalanta wapo tayari kupokea €45m kwa Hojlund Mzee wa WWE,
ETH akasema msinitanie
June 15 akamwambia Hojlund avunje mkataba na wakala wake Kisha ajiunge kwenye kampuni la uwakala la SGE ambalo linaongozwa na mtoto wa ETH
August 5 , Manjesta wakamnunua hojlund kwa total package ya €85m
ETH na genge lake wakawa wamepata faida ya €40m
Hapo sijaweka Agent fee ambayo Huwa inafika Hadi €10m
HII MICHEZO INAFANYIKA SANA SIMBA NA YANGA
View attachment 3186541
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe nawe funga bakuli lako, nyinyi mlishapiga £60m zenu kwa Freemason Mount, Masingeli povu linamtoka kwa kuona kwenye huu ufisadi unaoendelea Arsenyau hawajalamba hata mia mbovu.Hizo biashara hazina tofauti na kama za kina mwinyi zahera na usajili wa kina makambo au kindoki[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye huo mchango mimi nitachangia Kisu ya kuchinjia hizo ng'ombeMkishuka daraja tutapitisha mchango wa kununua ng'ombe tuchinje
Mechi ijayo na Liverpool.Nafasi ya 14
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ETH ni kizazi cha kina Endruuu Chernge A.k.a Joka la Makengeza.ETH alikuwa muhuni sana yule dingi