Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Mancity msimu ujao atakuwa championship,maana inasemekana wachezaji wa mancity walivujishiwa habari kuwa msimu ujao watapelekwa championship kwa ile kesi Yao ya 115charges ,ndio maana wamekata tamaa wanajionelea ya nini wapambane wakati hawatabaki EPL

MANJESTA inabidi ashuke daraja pia tushihudie Manchester derby huko Championship msimu ujao
 
Manjesta alikuwa anabebwa sana

Mimi naona Bado yale machungu hamjayalipia inabidi muende kabisa championship mkacheze na kina derby County,waycombe , Wimbledon

Ndio level zenu ,msimu huu mlicheza na katimu ka championship mkakapiga sijui 7 zile ,wale ndio level zenu sasa
 
Hiyo ya Man City ni kweli, ama una changamsha kijiwe?
Manjesta alikuwa anabebwa sana

Mimi naona Bado yale machungu hamjayalipia inabidi muende kabisa championship mkacheze na kina derby County,waycombe , Wimbledon

Ndio level zenu ,msimu huu mlicheza na katimu ka championship mkakapiga sijui 7 zile ,wale ndio level zenu sasa
 
Manjesta ishageuka Shamba la bibi

ETH ana akili sana ,nadhani atakuwa na utajiri mkubwa sana

Alifungua kampuni la kitapeli linaitwa SEG akawa msimamizi ni mwanae ,

Wamepiga ,10% za kutosha

Hojlund kanunuliwa *€85m badala ya €35m

Anthony Santos makudubela kanunuliwa €100m badala ya €25m

Mount €60m badala ya €35m

Zaka za kazi Joshua mutale €40m badala ya €20m

List ni ndefu sana

Amourine asijifanye hii timu ya baba yake ,amuulize ETH
 
Amorini akitaka kupiga pesa ,awaambie mabosi wa manjesta,kwa mfumo wake anataka aletewe Fulani na Fulani ,na hao wachezaji acheze game kama ETH wawe Bei ya €60-100m

Manjesta walivyo desperate watapambana watawaleta

Nakumbuka ETH alisema manjesta inamuhitaji Anthony Santos makudubela kuliko yeye anavyowahitaji, mabosi wa manjesta wakakwea pipa Hadi Ajax wakatoa €100m🤣🤣
 
June 1 Atalanta na vyanzo vingi vya Italy vilisema Atalanta wapo tayari kupokea €45m kwa Hojlund Mzee wa WWE,

ETH akasema msinitanie

June 15 akamwambia Hojlund avunje mkataba na wakala wake Kisha ajiunge kwenye kampuni la uwakala la SGE ambalo linaongozwa na mtoto wa ETH

August 5 , Manjesta wakamnunua hojlund kwa total package ya €85m

ETH na genge lake wakawa wamepata faida ya €40m

Hapo sijaweka Agent fee ambayo Huwa inafika Hadi €10m

HII MICHEZO INAFANYIKA SANA SIMBA NA YANGA

Screenshot_20241227-185443_1.jpg
 
Hamisi unapiga sana spana!😂😂🙌
 
June 1 Atalanta na vyanzo vingi vya Italy vilisema Atalanta wapo tayari kupokea €45m kwa Hojlund Mzee wa WWE,

ETH akasema msinitanie

June 15 akamwambia Hojlund avunje mkataba na wakala wake Kisha ajiunge kwenye kampuni la uwakala la SGE ambalo linaongozwa na mtoto wa ETH

August 5 , Manjesta wakamnunua hojlund kwa total package ya €85m

ETH na genge lake wakawa wamepata faida ya €40m

Hapo sijaweka Agent fee ambayo Huwa inafika Hadi €10m

HII MICHEZO INAFANYIKA SANA SIMBA NA YANGA

View attachment 3186541
😂😂🙌 wapumzishe kidogo, washaelewa!

Eti mzee wa WWE 😁
 
June 1 Atalanta na vyanzo vingi vya Italy vilisema Atalanta wapo tayari kupokea €45m kwa Hojlund Mzee wa WWE,

ETH akasema msinitanie

June 15 akamwambia Hojlund avunje mkataba na wakala wake Kisha ajiunge kwenye kampuni la uwakala la SGE ambalo linaongozwa na mtoto wa ETH

August 5 , Manjesta wakamnunua hojlund kwa total package ya €85m

ETH na genge lake wakawa wamepata faida ya €40m

Hapo sijaweka Agent fee ambayo Huwa inafika Hadi €10m

HII MICHEZO INAFANYIKA SANA SIMBA NA YANGA

View attachment 3186541
Hizo biashara hazina tofauti na kama za kina mwinyi zahera na usajili wa kina makambo au kindoki😂😂😂
 
Hizo biashara hazina tofauti na kama za kina mwinyi zahera na usajili wa kina makambo au kindoki[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe nawe funga bakuli lako, nyinyi mlishapiga £60m zenu kwa Freemason Mount, Masingeli povu linamtoka kwa kuona kwenye huu ufisadi unaoendelea Arsenyau hawajalamba hata mia mbovu.
Masingeli anakelele nyingi kama Mwami na zile kelele zake za Sandarusi, ila baada ya kurambishwa kijiko kimoja cha asali anafunga bakuli lake.
 
ETH alikuwa muhuni sana yule dingi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ETH ni kizazi cha kina Endruuu Chernge A.k.a Joka la Makengeza.
Watoto wa mjini hawa hua hawalali njaa, pamoja na ufisadi wote ila mwisho wa msimu zikipigwa hesabu Utd ndio inakua namba moja Epl kwa maokoto, hivyo kuliko pesa yote ya faida kuliwa na watoto wa marehemu Gilaza na huyo tajiri mwembamba ni bora na hawa watoto wa mjini wajimegee tu kabisa fungu la 10.
Masingeli hizi pesa zinavyokuuma utafikiri zimechomolewa kwenye mfuko wako wa suruali (kweli masikini tunakuaga na roho za korosho sana) yaani pesa sio zako lakini zinakutesa.
 
Back
Top Bottom