Daahhh mwaka tunaumaliza na Newcastle, halafu mwaka mpya tunauanza na Liverpool.

Kasongo yeeyeeee
Mumbali nangaaa
Kasongo mbona wewooo
Songa libalaaa
Oooh ye ye ye yeeee
Kasongo mbona wewo
Mbona weooohhh [emoji445]
 
Shabiki wa aseno unaitukana united inashangaza maana kama ni ubingwa epl sikumbuki aseno mara ya mwisho kubeba ni lini
Mara ya mwisho kubeba marefa walikuwa wanavaa suti nyeupe
 
Watoto wa bwenyenye lenye mihela yake mjini Sir Jim barobaro boys wanashuka kwenda kuwashiiiika.

Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁

My prediction

Man united 3 vs Newcastle 1

Tutapiga kama ngoma.
 
"Mawinga" watatu makini wako nje (Garna, Rash, Anthony) halafu unaweka mtu hajawahi kuxheza winga toka azaliwe (Zirkzee) na unategemea kushinda. Huyu kocha ni mbwa tu.
 
"Mawinga" watatu makini wako nje (Garna, Rash, Anthony) halafu unaweka mtu hajawahi kuxheza winga toka azaliwe (Zirkzee) na unategemea kushinda. Huyu kocha ni mbwa tu.
We jamaa hujui mpira.

Huo mfumo hauna winga.

Kuna wing-back na 2 no 10.
 
We jamaa hujui mpira.

Huo mfumo hauna winga.

Kuna wing-back na 2 no 10.
Kwa hiyo ndio unamletea huo mfumo Newcastle? Leo 5 tunagongwa. Kwa jinsi Zirkzee alivyochemka mechi 2 zilizopita na Anthony alivyofanya vizuri mechi iliyopita, kwa njia yoyote angetafuta mfumo unaomfanya Anthony awepo na Zirkzee asiwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…