Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Il
Hata ETH hakuwa mbovu hivi

Amorini kakariri back 3 ,akiwa ligi ya mbuzi ureno sijui kama kawahi kucheza nje ya back 3

Ina maana back 3 isipo work hana option B
A ingekuwa inaleta matunda mngeshangilia 😂😂😂
 
Inapotokea mbungi ya livakuku na manyuu, liva huwaga hanaga huruma kabisa.
Yake majamaa yao hayachoki kufunga!
Kuna Diaz,salah na wale wahuni wengine huwa kama wanawakomoa nyumbu.
 
Ukiwaangalia players wa united profile zao ni zuna suit kwenye huo mfumo wa amorim?, united players unaweza linganisha na sporting ?,
kocha mzuri anabadili system ili kufit wachezaji alionao!
lazima ujifunze kutumia resources ulizonazo ili ku-survive
 
Back
Top Bottom