Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WeweHamna timu yakupambana na liva.
Ukitaka kubishana tafuta mtu wa kubishana naye
Ambaye mara ya mwisho tulimalizana naye kwa kumtwangaNawakumbusha, mwaka mpya mnaanza na LIVERPOOL
Huyu jamaa ni balaa ya mwakaHuyu Zirkee mlimuokota wapi asee?
😂😂😂😂😂😂😂Huyu jamaa ni balaa ya mwaka
We unazungumzia mwaka gani? Liver kakutwanga 3 mtungi pale pale sebleni kwakoAmbaye mara ya mwisho tulimalizana naye kwa kumtwanga
Jamaa kawaona united kama ajax ndio maana kasajili wachezaji laini akiamini watatoboa kumbe epl ni jiweHuyu Zirkee mlimuokota wapi asee?
haiwez tokeaTushuke tu daraja nishajiandaa kisaikolojia
HahaahahahhahaahhaahahahahhaahAmbaye mara ya mwisho tulimalizana naye kwa kumtwanga
Unashabikiaje hilo litimu?Tushuke tu daraja nishajiandaa kisaikolojia
Watuachia hela kidogo maana wanafungwa magoli ya kona goli ..hawa kidogo watawasaidia 😂😂Man u mnashida ya mabeki sisi Chelsea tunataka 60M tunawapa wote wawili
Kuendekeza wachezaji wanao deka na hawana kiwango hiyo haifai. Utd kwa sasa kwenye swala la nidhamu imeshuka sana, ni kama makocha wamekua wakiwaogopa wachezaji badala ya wachezaji kumuogopa kocha na huu ujinga aliulea sana Ole gonna. Ole alitengeneza timu nzuri sana, kilichomgharimu yeye ni kuwaintertain wachezaji wazembe ambao waliigharimu timu hasa kwenye mechi muhimu kama finali na hao sio wengine ni Rashford, Martial , Pogba na Maguire. Kama Ole angewaondoa hawa watu mapema nadhani angekuwa ndio kocha bora baada ya Ferg. Badala yake akaondoka yeye na kila kocha aliyekuja akawa anakutana na wakati mgumu kwa hawa wachezaji, wengine waliwaondoa wachache wakawabakisha kina Rashford.Ni kama vile wachezaji wamemgomea Kocha mapema sana.
Nyakati kama hizi ndipo unapoona umuhimu wa Juma Mgunda.