Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Mara paa

Imekuwa kweli

Tunachinja mbuzi

20250103_145101.jpg
 
Hivi manjesta serious wameingia kwenye mjadala wa kushuka daraja?😂😂😂
Wanaojadili kushuka daraja timu wote ni vilaza.

Kwa sababu hizi
1. Match played 19 remain 19
2. Man utd points 22 above PD average 1 and 2 consecutively
3. Man united giancy rich club can buy players
4. Man united is aware of FFP

Jadili kwamba timu haitasogolea top 4 and not relegation stupid
 
Kimekuwa na hasira sana nikienda kuona mechi za man utd vibanda umiza kelele mingi yaani kama hasira za kelele ma madeni. Nimelipia dstv 175,000 mech za Januari am home na generator ipo, app za kutazania zipo. I m free man mbowe😛😛
 
Kama crystal palace atamkafua Chelsea kisha na nyinyi mkakafuliwa na liverkuku basi moja kwa moja mtakuwa wa 15, wa nyuma yenu everton ana mchezo mmoja mkononi, inabdi mumuombee apoteze. La sivyo kuna hati hati ndani ya mwezi huu mkawa wa 17.
 
Wamalize msimu wakiwa 17. Hiyo itapendeza vizuri tu.
 
Bado nasisitiza ndg zanguni, huwezi ukabeti timu kushuka ikiwa ndio kwanza league iko nusu mzunguko..mamechi kibao yamebaki
 
Wanaojadili kushuka daraja timu wote ni vilaza.

Kwa sababu hizi
1. Match played 19 remain 19
2. Man utd points 22 above PD average 1 and 2 consecutively
3. Man united giancy rich club can buy players
4. Man united is aware of FFP

Jadili kwamba timu haitasogolea top 4 and not relegation stupid
Mkuu si ungeandika tu kwa kiswahili duh hyo inglishi kiboko😅
 
Wanaojadili kushuka daraja timu wote ni vilaza.

Kwa sababu hizi
1. Match played 19 remain 19
2. Man utd points 22 above PD average 1 and 2 consecutively
3. Man united giancy rich club can buy players
4. Man united is aware of FFP

Jadili kwamba timu haitasogolea top 4 and not relegation stupid
Twende chini tukaanze moja
 
Back
Top Bottom