Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Screenshot_20250104_190414_Chrome.jpg
 
Kila nikiangalia pale nyuma kuna zigo la mavi dalot maguire mazurui deligt na kijeba

🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Katikat lile dogo kobe mauno zito kukimbia km.lina.miaka 30kumbe ata 20.bado

Naona kila baada ya dkk kumi tutakuwa tinaenda kuchwkea choon 😀😀😀

Mashetan 1-9 kuku broiler
 
Ila ili timu limekuwa la kidwanz know 🤣 🤣🤣🤣

Hamad mchezaji mdogo km kidonge cha pilton ndio anategemewa🤣🤣🤣
 
Kwa kosi hili leo Liverpool ana kazi kubwa, kama alizoea kufunga watoto leo atamfahamu HAMAD, HUJLUND na BRUNO ni watu wa aina gani.
 

Attachments

  • Screenshot_20250105_185411_Google.jpg
    Screenshot_20250105_185411_Google.jpg
    219.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom