Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
Takwimu unazungumzia zipi, bado sijakupata.Mkuu tubaki tu kwenye hakika na kweli ya takwimu, maana ukileta sababu ni nyingi sio moja au mbili.
Kwenye mechi zake 11 za united. Na naamini unaangalia mechi pia.Takwimu unazungumzia zipi, bado sijakupata.
🤣🤣🤣🤣We unamuita Anthony winga makini? 😂😂😂
A ingekuwa inaleta matunda mngeshangilia 😂😂😂Hata ETH hakuwa mbovu hivi
Amorini kakariri back 3 ,akiwa ligi ya mbuzi ureno sijui kama kawahi kucheza nje ya back 3
Ina maana back 3 isipo work hana option B
A ingekuwa inaleta matunda mngeshangilia 😂😂😂Hata ETH hakuwa mbovu hivi
Amorini kakariri back 3 ,akiwa ligi ya mbuzi ureno sijui kama kawahi kucheza nje ya back 3
Ina maana back 3 isipo work hana option B
Tuzidishe maombi tukiwa tunafunga mwaka tuwajumuishe na mwanitesa utdAchana na chelsea ongeza nguvu ombea hawa wanaoelekea kushuka daraja
Ligi rasmi tunaanza Jumapili na livakuku tutapiga kama ngoma.Bahati yenu offside.
Akiyanani hii timu imechoka.
Sahau icho kitu kwa Sasa natamani kuona tukishuka daraja tu tukaanze moja huko bondeni .......Ligi rasmi tunaanza Jumapili na livakuku tutapiga kama ngoma.
Sipati picha namna tunaenda kuwadunda nyie wahuniLigi rasmi tunaanza Jumapili na livakuku tutapiga kama ngoma.
Not in our houseSipati picha namna tunaenda kuwadunda nyie wahuni
New Castle anawasumbua kiasi hiki,, jiandaeni goli kuanzia 5 na kuendelea.
Ni kichapo Cha hali ya juuNot in our house
Golini kwenu anakaa naniLivakuku mjiandae, Tutawachakaza sana hiyo jumapili. Mark my word
🤣🤣🤣Inapotokea mbungi ya livakuku na manyuu, liva huwaga hanaga huruma kabisa.
Yake majamaa yao hayachoki kufunga!
Kuna Diaz,salah na wale wahuni wengine huwa kama wanawakomoa nyumbu.
OnanaGolini kwenu anakaa nani
Safi sanaOnana
kocha mzuri anabadili system ili kufit wachezaji alionao!Ukiwaangalia players wa united profile zao ni zuna suit kwenye huo mfumo wa amorim?, united players unaweza linganisha na sporting ?,