Bachelor OG
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 878
- 1,195
Another trophyless year for farteta and his dark antics [emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoto hizo, top 4 bila points 70 huipati. Tukijitahidi sana tutamaliza na points 50 ila sioni tukikusanya zaidi ya points 60. Isitoshe kuna timu kama 10 bora zaidi yetu kwa sasa.Huyu kocha akipata sajili kama mbili hili dirisha basi tunatoboa top four.
We si ni shabiki wa Brighton kabisa ase 😂Ndoto hizo, top 4 bila points 70 huipati. Tukijitahidi sana tutamaliza na points 50 ila sioni tukikusanya zaidi ya points 60. Isitoshe kuna timu kama 10 bora zaidi yetu kwa sasa.
shushushu ilo.We si ni shabiki wa Brighton kabisa ase 😂
Kanishangaza sana mdau pale utasema sio matured daaahBaadhi ya michezaji yetu haina akili kabisa.
Dalot alikuwa anafikiria nini kufanya ile reckless tackle??
Hovyo kabisa
Hii timu Ina wachezaji aiseeeToby Collyer huyu alikuwa wapi siku zote hatari sana. Soon atamuweka Mainoo bench.
Nakusalimu mkuuKufungwa na timu iliyokuzidi najua haiwaumi
Tulishasema hatuwezi fungwa mara mbiliAya mmeshashinda ubingwa wenu wa kumfunga Manchester
Tukutane FA hatuwezi fungwa mara mbili
We kenge endelea kuleta na takwimu za kilichotokea Emirates🚨 In Premier League history, four teams who were 14th at the turn of a year have then been relegated (Newcastle in 2008-09, Burnley in 2009-10, Norwich in 2013-14 and Leeds in 2022-23) [@OptaJoe]
Arteta outPunda kabisa
Bado hujasemaChura
Punda kabisa unaona wivu
Netflix fcPunda kabisa
real betis & olyimpiacosHivi masebene hakuna hata timu moja onayomtaka?
Evra ana majungu balaaNetflix fc
Wazee wa next season.