Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Haw machezaji wanapokea mshahara mkubwa ila wanavyocheza ni aibu kuwatazama ni kama wapo championship. Wacgezaji hawawezi kupiga hata chenga 2 wanapoteza mpira halafu kuna watu wamefanyiwa sub nawaona benching eti wamenuna utadhani wanaumizwa na matokeo.
 
Man utd ni kama banda la kuku ambalo limeingia kideri dawa yake nikufagia banda lote na kufanya fabrication na kuweka kuku wapya. Nina wasiwasi hawa wachezaji wetu wanahusika na kubet matokeo.
 
Back
Top Bottom