Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Kula msimamo huo
 

Attachments

  • Screenshot_20250131-005631.jpg
    Screenshot_20250131-005631.jpg
    155.8 KB · Views: 3
Kwaheli papa rashford kiboko ya Wenger orphans.

kamwe siwezi kukusaau kwa goal zako mbili dhidi ya arsenal ukiwa bado kijana mdogo tu anae valia jezi 39 mgongoni.

Ulichotupa hatutakisaau kwa udambwi udambwi wako pale mbele.
Screenshot_20250202-111005.png
 
Sijui makubaliano yao kimkataba yakoje ila namuonea huruma Amorin na huu uongozi mpya wa United. Tunauza ila kusajili ni under age ambao sioni wakiingia kwenye kikosi cha kwanza hivi karibuni.

Any way, sasa moyo wangu una amani baada ya Rashford kuondoka pale matofalini.
Tujenge timu sasa.
 
Kikosi cha watoto wa bwenyenye Sir Jim barobaro kimeshuka.

My prediction

Manchester united 3 vs crystal palace 1

Watapigwa sana wale View attachment 3222343
Huu uzi watu kama wamezila hivi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Anyway 1st half mmejikaza vyema ni muda wa kulegeza 2nd half. Mikeka ya watu ipo rehani mazee
 
Back
Top Bottom