Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
garnacho & rasmus ni 🚮Kwa hizi stats mpaka sasa hivi dakika ya 34 hamna shot yoyote iwe on target au off target. Pipi angejichanganya kusema mnashinda ilikua muwe mnaogozwa mbili
Mmepakatwa na City iliyooza unapata wapi ujasiri wa kuleta mdomo hapa ? Uzeni yale matakataka yenuHii ni timu kweli? Mpaka sasa hakuna shuti lolote lile yaani on ama off, aisee inasikitisha sana.
😁 devils unchainedHuyu kocha wa Fulham ni pimbi
Bado nyie kenge wa arteta tutawashenyenta.Huyu kocha wa Fulham ni pimbi
Accuracy is the key.Kwa hizi stats mpaka sasa hivi dakika ya 34 hamna shot yoyote iwe on target au off target. Pipi angejichanganya kusema mnashinda ilikua muwe mnaogozwa mbili
Sisi sio nyie boss. Piga mpira ukiwa nanuhakika mpira unaingia golini dio ilimradi kutengeneza stats za hovyo tu.Yani nyie kenge mechi inaenda half time hamja attempt hata shuti moja?
2.5 imegoma😁 devils unchained
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ameingia Pereira pamoja na huyo Munisi wenu haya sema Nyumbu kafa ngapi?Akiingia Pereira na Muniz au Pereira na Traore nyumbu anakufa
Pipi yuko wapi achana na uongo wa accuracy na nini wakati mlibanwaAccuracy is the key.
Sio unapiga mashuti mengi wakati hauna uhakika kama mpira unaingia golini.
niliweka man u ashinde goli zianzie mbili 😁2.5 imegoma