Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Manchester United will not be the same.

Nimepokea hii taarifa kwa masikitiko makubwa kabisa, tena sana.

Mrithi sahihi wa Ronaldinho Gaucho, si mwingine bali Antony Matheus dos Santos au kama tunvyomuita Antoninho kwenda kwa mkopo hapo Real Betis.

Timu ilikuwa Bado inamhutaji sana huyu myama.
20250126_124437.jpg
 
Kwa hizi stats mpaka sasa hivi dakika ya 34 hamna shot yoyote iwe on target au off target. Pipi angejichanganya kusema mnashinda ilikua muwe mnaogozwa mbili
 
Hii ni timu kweli? Mpaka sasa hakuna shuti lolote lile yaani on ama off, aisee inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom