Manchester United (Red Devils) | Special Thread
20250120_211451.jpg
 
Unaiongelea timu inayoshika nafasi ya pili
Tuachane na UEFA ambayo Nottingham forest anakuzidi, vip mara ya mwisho Netflix (arsenal) amabeba ligi ye EPL ilikua lini, kumbe rodri hakukosea huenda hata kuwa wa pili kweye ligi ni mafanikio yenu makubwa.
 
Antony alikua kaja kuwapa kombe lenu la ligi jingine tangu Alex aondoke?
 
Hatimaye tumeanza operation ondoa deadwood players.
Bado Rashford na Shaw.
 
Back
Top Bottom