Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alipipi asirudie kuweka direct score,
Wachezaji wetu Wana mentality mbovu, hawatufai au wabadili mentality wajue kupambana dakika 90 kila game
Wajue wanataka nn uwanjani kuanzia dakika ya 1 mpaka ya 90
Ubao umegeukaKikosi cha watoto wa bwenyenye Sir Jim barobaro boys limeshuka
Twende nalo
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁
My prediction
Manchester united 3 vs Brighton 1
Tutapiga kama ngoma.View attachment 3206464
Mi napenda mkiwa mnalalamikaHuyu zirkizee hakuna mchezaji, toka mechi ya kwanza nilijua EPL huyu ni takataka.
United wachezaji Wana mentality ya timu ndogo ndogo, hawafai karibu 90%
Na bado nashangaa dirisha dogo hatufanyi sajili.
United inachosha Kwa miaka ya sasa
Mzito sana sana
Waliwaokota wale vilema wenzao..Haya dk 8 hizo. Pigeni goli 3 chap.
Kikosi cha watoto wa bwenyenye Sir Jim barobaro boys limeshuka
Twende nalo
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha
Kweli. Mimi huwa nikisikia Manyumbu yameshinda au yametoa sare ndiyo hiwa nashangaaKuna timu zikifungwa hushangai.
Labda kama ni mgeni jijini