Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutakuwepo mwisho wa msimu kwenye jukwaa letu pendwa la matumin hewa na Qualified to champion league cupIla wazee wa banter tuwe wastaarabu.marehemu Huwa hasimangwi
Kila siku wanaliwa kimasihara mkuu😅Hivi hii timu ishawahi kuwa Serious hata kidogo toka Sir Alex aondoke?? Maana ni utumbo tu wanafanya.
ASante umenipatia hela kw kanji, prediction zako nimezifanya fursa.Kikosi cha watoto wa bwenyenye Sir Jim barobaro boys limeshuka
Twende nalo
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁
My prediction
Manchester united 3 vs Brighton 1
Tutapiga kama ngoma.View attachment 3206464
Katika mashabiki wa nyumbu wewe ndiyo umeandika kitu reality mno.Nilishawaambia fans wenzangu, hii timu ukitaka irudi taratibu kule juu basi ziletwe mashine za kazi, Kwa system ya huyu kocha Inahitaji watu wa kazi wenye akili ya mpira. Wazee back three then una mido wawili tu na winga wasiokaba sawa sawa unadhani unahitaji watu wa aina gani kuweza kukava space ground kubwa namna hii pindi tu timu pinzani wakiwa kwenye transition?, ni wachezaji punda pekee na wenye akili ndio wanaweza Hilo.
Wazee 3-4-2-1 siyo mfumo wa kinafiki hata kidogo kwasababu kama huna watu sahihi ni rahisi kuwa exposed, kwanza lazima uwe physically fit, mentality fit, angalia Sasa mido yetu mainoo yeye hii itampa tabu kwasababu si aina ya wachezaji wanaweza kuingia direct kwenye hii system, kwanza anapoteza mipira hovyo na unajua ukipoteza mpira tu nyuma wako watu jua mmeliwa, si mzuri kwenye kuihamisha timu Kwa haraka kama angekuwa na uwezo hata nusu tu ya prime eriksen ingekuwa nafuu, ukimpress kisawa sawa anakuachia mpira, si aina ya mchezaji anayependa kukimbizwa sana, huu ni mfano tu wa wachezaji wetu wengi.
Haiwezekani useme ni tatizo la kocha wakati unaona kabisa unafungwa kwasababu ya wachezaji wenye ubora mdogo, kwanini usicheze na intensity ile ile au inayokaribiana na ile ya mechi kubwa, tungekuwa tunacheza Kila siku kama tulivyocheza na Liver tungekuwa wapi Sasa hivi?
Mpira ni desire, mechi na Southampton tulifundishwa mpira wa namna backthree system inatakiwa icheze vipi, kiuchezaji wale watoto wa st. Mary walituacha mbali sana, eti fans huko wanaosema UTD imerudi, this is insane hahh. Timu wachezaji wanajigonga wenyewe, hawajiamini kabisa haha. Mid table teams kama N.forest, Bournemouth, Newcastle hizi zote zimetufundisha mpira, haya timu za mkiani kama Ipswich imewafundisha kina Bruno.
Dah 😂ASante umenipatia hela kw kanji, prediction zako nimezifanya fursa.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Msimu wakati unaanza Onana akasema amejiandaa kutake risk. Antony akasema huu mwaka tutamkoma.
Mpaka jana Onana kafanya errors zilizopelekea magoli 10 na Antony anaenda kwa mkopo Real Betis
Kwan Southampton na arsenal walitoka ngapiEti unamfunga Southampton kwa bahaaaaati bahaaaaati halafu eti unajiona unajua bolu.
Kesho tu unakutana na katoto kadogo Brighton kanakucharaza na kukukumbusha kuwa wewe Huna lolote unalojua
Huyo mimi huwa napiga. Ushindi kwake ni sare. Nadhani juzi juzi tu hapa October nilimpiga 3-1Kwan Southampton na arsenal walitoka ngapi