Hawa punda wameifunga timu jina hawaijui washaanza eti kobe awe namba 10. Hakika Ruben akamuweka CF kabisa.

Kiazi kimoja nishasema kikitabiri ushindi tu mi hata siwazi. Najua lazima mfe punda kabisa
 
We umewahi kusikia wapi kocha anaitwa Ruben?

Ruben tunayemjua sisi ni Hakika Ruben wa TikTok
 
Hawa punda wameifunga timu jina hawaijui washaanza eti kobe awe namba 10. Hakika Ruben akamuweka CF kabisa.

Kiazi kimoja nishasema kikitabiri ushindi tu mi hata siwazi. Najua lazima mfe punda kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Oyaaa wakuu onesheni utu basi, wakati mwingine sio busara kumsimanga ndugu yako aliye mahututi baada ya kupata ajali akiwa anaonyesha mbwembwe za kupiga dede.
Ila allypipi miyeyusho sana, kwenye prediction zake hapa JF anaonyesha tunampiga mtu goli 3 halafu kwenye mikeka yake anatuua.
 
Kumbe na yeye anatajirika kupiti utabiri wake
 
Mi niko zangu nacheki game ya Marseille vs Lyon, game ya Moto sana, Greenwood ameshatupia goli Moja mpaka Sasa 72' ni 2-2.
 
Kuna namna😃
 
[emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…