Mpira siyo kurukaruka kama maharage yanayochemshwa.Acha ujinga wewe...unaangalia mpira makengeza nini.
Hivi ndiyo jinsi soka lilivyokuwa hapo zamani za kale.Hii mbona ni offside?
DaahHii mbona ni offside?
Ndo level zenu hizo sasawatapigwa kama mgoma 😁View attachment 3228397
Anakamia huyo simshangaiSecond game, second MOTM
View attachment 3230299
Jamaa anajituma kama kanunuliwa moja kwa moja.Second game, second MOTM
View attachment 3230299
tetea alete pesaSecond game, second MOTM
View attachment 3230299
Tujikakamue tubebe walau Europa au FA tupate cha kusemea mtaani msimu huu.