Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,775
- 3,593
Dah asee!Spurs wawakande Leo itapendeza sana
Punda kabisaKikosi cha Watoto wa bwenyenye Sir Jim hawa hapa
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha π π
My prediction
Spurs 1 vs Manchester united 2
watapigwa sana wale vijana wa nyeupe.View attachment 3238083
Bora hata toka mwanzo kabsa angeanza na madogo wawili au mmoja baadae angefanya sub.Amorim kichwa nazi na yeye. Umeshafungwa wape hata madogo dk 15 za mwisho angalau wao wanaweza kuonyesha uhai.