Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Nyie wahuni mnajitahidi kushuka daraja msimu huu na kutupotezea timu ya kutupa Gunners uhakika wa points kila msimu. Shida yenu ni kwamba kuna akina Southampton, Ipswich, Leicester, Wolves na hata West Ham ambao wanajuhudi zaidi yenu katika kusaka kushuka daraja.
Hivyo basi, muelewe kwamba msimu ujao bado tutakuwa pamoja na tutaendelea kuwatembezea vichapo mpaka majukwaa yetu myaone kama makaa ya moto huku sisi tukiendelea kuishi huku kwenu kama tuko sebuleni kwetu.
 
Ila ukiangalia mechi zilizobaki za Hawa jamaa tunaweza mwsho wa msimu tukaja kuongea mengine hapa....masiharahara mtu mzima anaenda kuungana na Cardiff City kule Championship 🤠🤠🤠
 
Msimu ujao km hizi takataka hazitaondoka basi kocha reuben atatimuliwa

Mazrou
Delgt
Kobie maino
Casemiro
Hamad
Dalot
Gernacho
 
Ila ukiangalia mechi zilizobaki za Hawa jamaa tunaweza mwsho wa msimu tukaja kuongea mengine hapa....masiharahara mtu mzima anaenda kuungana na Cardiff City kule Championship 🤠🤠🤠
Hawa wehu hawawezi kushuka, shida ni hao wa chini hawana uwezo wa kushinda games zao. Kama alivyosema mdau wanajuhudi za kushuka zaidi ya nyumbu.
 
Ila ukiangalia mechi zilizobaki za Hawa jamaa tunaweza mwsho wa msimu tukaja kuongea mengine hapa....masiharahara mtu mzima anaenda kuungana na Cardiff City kule Championship 🤠🤠🤠
😀😀😀 hawawezi kushuka daraja hawa msimu huu hata wafanyeje 😀😀😀
 
Msimu huu malengo yawe matatu tu;
1. tusishuke daraja
2. tubebe europa au FA.
3. Tuwaombee liverkuku wabebe EPL
 
Feyenoord na PSV huko walipo wanatetemeka wakiwaza uwezekano wa kukutana na sisi au Inter. Wote wanaomba wakutane na Inter.

Mtakuwa hamjanielewa maana siyo level yenu ila ni kwamba kuna droo ya Champions League leo.
[emoji2]
 
Njia ya kufika fainal
1740141253475.jpg
 
Back
Top Bottom