mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 7,938
- 17,729
Safari ya nyumbu kule Europe ndio imeishia hapa. Hamna uwezo na quality ya kuchuana na real sociedadNjia ya kufika fainal
View attachment 3244081
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safari ya nyumbu kule Europe ndio imeishia hapa. Hamna uwezo na quality ya kuchuana na real sociedadNjia ya kufika fainal
View attachment 3244081
Ohoooo 😂Mbabe wenu spurs yupo huko...na hao jamaa hawajachukua kombe miaka mingieuropa ipo mikononi mwa Man U
Nyumbu naona wanavyojipa matumaini na wakati hapo Kuna timu ngumu zimebaki ambazo zimewazidi mbali nyumbu fc kina fernebahce,......kina spurs..... nyumbu labda waliibe hili kombeSafari ya nyumbu kule Europe ndio imeishia hapa. Hamna uwezo na quality ya kuchuana na real sociedad
az alkmaar atammaliza 😁Ohoooo 😂Mbabe wenu spurs yupo huko...na hao jamaa hawajachukua kombe miaka mingi
spurs ni kama uyogaNyumbu naona wanavyojipa matumaini na wakati hapo Kuna timu ngumu zimebaki ambazo zimewazidi mbali nyumbu fc kina fernebahce,......kina spurs..... nyumbu labda waliibe hili kombe
City hana nafasi kuchukua EPL msimu huu, ni kati ya hao wawiliBora wabebe City, sio Liverpool wala username hawafai
sikuoni jukwaa la comedyUtafiti wa wanafunzi wa Harvard wanasema , Raha ya manjesta kufungwa ni zaidi ya kufika kileleni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna wahuni huko wamebeba furushi la viboko wanamsubiri kwa hamu.sikuoni jukwaa la comedy
🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna wahuni huko wamebeba furushi la viboko wanamsubiri kwa hamu.
Sema Masingeli lina akili mingi sana, yaani liliweza kujimilikisha lile jukwaa utadhani vile ni mali ya babake, Arsenyani zote zile akazigeuza ni misukule yake, kila anachoongea yenyewe inaitikia tu tawileeee.
Ilifikia kipindi Masingeli alipiga marufuku hata watu wasimquote, akawaamisha Arsenyo kua msimu ulioisha watabeba Epl na Uefa na yoyote anaebisha hana akili.
Alikuja kuwamaliza kabisa na ile trick yake ya Super Computer, misukule yote ikamuona Masingeli kama vile Musa amekuja kuwapeleka nchi ya ahadi.
Usije ukakuta Masingeli ana DNA ya Mwamposa halafu hata yeye mwenyewe hajui. View attachment 3245231
Baada ya kuona prediction ya AllypipiKikosi cha watoto wa bwenyenye Sir Jim kinashuka kuwapa kichapo wale everton.
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha
My prediction
Everton 1 vs Manchester united 3
Unyonge sasa basi, watapigwa sana wale everton na wapambe wao wakina mkorea.
GGMU [emoji3531] View attachment 3245250
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tukutane Uefa mwakani, hapa ndio hua tunawashangaza Chelkenge mpk hua wanahisi kua labda tunatumia nguvu za giza.[emoji3][emoji3][emoji3] hawawezi kushuka daraja hawa msimu huu hata wafanyeje [emoji3][emoji3][emoji3]
Ah kumbe ushaweka prediction.Kikosi cha watoto wa bwenyenye Sir Jim kinashuka kuwapa kichapo wale everton.
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha
My prediction
Everton 1 vs Manchester united 3
Unyonge sasa basi, watapigwa sana wale everton na wapambe wao wakina mkorea.
GGMU ♥️ View attachment 3245250