Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Safari ya nyumbu kule Europe ndio imeishia hapa. Hamna uwezo na quality ya kuchuana na real sociedad
Nyumbu naona wanavyojipa matumaini na wakati hapo Kuna timu ngumu zimebaki ambazo zimewazidi mbali nyumbu fc kina fernebahce,......kina spurs..... nyumbu labda waliibe hili kombe
 
Everton watapigwa kama ngoma
IMG_20250222_105746_848.jpg
 
sikuoni jukwaa la comedy
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna wahuni huko wamebeba furushi la viboko wanamsubiri kwa hamu.
Sema Masingeli lina akili mingi sana lile jamaa, yaani liliweza kujimilikisha lile jukwaa utadhani vile ni mali ya babake, Arsenyani zote zile akazigeuza ni misukule yake, kila anachoongea yenyewe inaitikia tu tawileeee.
Ilifikia kipindi Masingeli alipiga marufuku hata watu wasimquote, akawaaminisha msimu ulioisha watabeba Epl na Uefa na yoyote atakaebisha hana akili.
Alikuja kuwamaliza kabisa na ile trick yake ya Super Computer, misukule yote ikamuona Masingeli kama vile Musa amekuja kuwapeleka nchi ya ahadi.
Usije ukakuta Masingeli ana DNA ya Mwamposa halafu hata yeye mwenyewe hajui.
1713782188650.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna wahuni huko wamebeba furushi la viboko wanamsubiri kwa hamu.
Sema Masingeli lina akili mingi sana, yaani liliweza kujimilikisha lile jukwaa utadhani vile ni mali ya babake, Arsenyani zote zile akazigeuza ni misukule yake, kila anachoongea yenyewe inaitikia tu tawileeee.
Ilifikia kipindi Masingeli alipiga marufuku hata watu wasimquote, akawaamisha Arsenyo kua msimu ulioisha watabeba Epl na Uefa na yoyote anaebisha hana akili.
Alikuja kuwamaliza kabisa na ile trick yake ya Super Computer, misukule yote ikamuona Masingeli kama vile Musa amekuja kuwapeleka nchi ya ahadi.
Usije ukakuta Masingeli ana DNA ya Mwamposa halafu hata yeye mwenyewe hajui. View attachment 3245231
🤣
 
Kikosi cha watoto wa bwenyenye Sir Jim kinashuka kuwapa kichapo wale everton.

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha

My prediction
Everton 1 vs Manchester united 3

Unyonge sasa basi, watapigwa sana wale everton na wapambe wao wakina mkorea.

GGMU ♥️
1740223083745.jpg
 
GGMU [emoji3531] View attachment 3245250
Baada ya kuona prediction ya Allypipi
JamiiForums1107531156.jpg
 
[emoji3][emoji3][emoji3] hawawezi kushuka daraja hawa msimu huu hata wafanyeje [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tukutane Uefa mwakani, hapa ndio hua tunawashangaza Chelkenge mpk hua wanahisi kua labda tunatumia nguvu za giza.
Hata hii nafasi ya Europa ilikua ni yao ila mwisho wa siku wavaa Blauz hawawezi shindana na mwanaume hata wakibebwa na ile 50 kwa 50.
 
Kikosi cha watoto wa bwenyenye Sir Jim kinashuka kuwapa kichapo wale everton.

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha

My prediction
Everton 1 vs Manchester united 3

Unyonge sasa basi, watapigwa sana wale everton na wapambe wao wakina mkorea.

GGMU ♥️ View attachment 3245250
Ah kumbe ushaweka prediction.

Haya sasa tuone.
 
Back
Top Bottom