ten tapel πIn Ten Hag we trust
Ila ukiangalia mechi zilizobaki za Hawa jamaa tunaweza mwsho wa msimu tukaja kuongea mengine hapa....masiharahara mtu mzima anaenda kuungana na Cardiff City kule Championship π€ π€ π€Nyie wahuni mnajitahidi kushuka daraja msimu huu na kutupotezea timu ya kutupa Gunners uhakika wa points kila msimu. Shida yenu ni kwamba kuna akina Southampton, Ipswich, Leicester, Wolves na hata West Ham ambao wanajuhudi zaidi yenu katika kusaka kushuka daraja.
Hivyo basi, muelewe kwamba msimu ujao bado tutakuwa pamoja na tutaendelea kuwatembezea vichapo mpaka majukwaa yetu myaone kama makaa ya moto huku sisi tukiendelea kuishi huku kwenu kama tuko sebuleni kwetu.
Hawa wehu hawawezi kushuka, shida ni hao wa chini hawana uwezo wa kushinda games zao. Kama alivyosema mdau wanajuhudi za kushuka zaidi ya nyumbu.Ila ukiangalia mechi zilizobaki za Hawa jamaa tunaweza mwsho wa msimu tukaja kuongea mengine hapa....masiharahara mtu mzima anaenda kuungana na Cardiff City kule Championship π€ π€ π€
πππ hawawezi kushuka daraja hawa msimu huu hata wafanyeje πππIla ukiangalia mechi zilizobaki za Hawa jamaa tunaweza mwsho wa msimu tukaja kuongea mengine hapa....masiharahara mtu mzima anaenda kuungana na Cardiff City kule Championship π€ π€ π€
Mkuu Hadi amad Messi wa kiafrika?πMsimu ujao km hizi takataka hazitaondoka basi kocha reuben atatimuliwa
Mazrou
Delgt
Kobie maino
Casemiro
Hamad
Dalot
Gernacho
injury proneMkuu Hadi amad Messi wa kiafrika?π
epl bila man u hainogi ππππ hawawezi kushuka daraja hawa msimu huu hata wafanyeje πππ
Hakuna kitu pale had mm nimemkariri akipokea pasi lazima arudishe kwa dalot au ma zuruiMkuu Hadi amad Messi wa kiafrika?π
Waxhezajinwasiojiamini kukaa na mpira, hivyo sana.Hii United hata haijulikani shida nini!
Imagine wachezaji wa everton wanavyokimbia uwanja mzima kuwazuia liverpool, ila united hatuwezi hata kukaa na mpira daki 2 tu!
Bora wabebe City, sio Liverpool wala username hawafaiMsimu huu malengo yawe matatu tu;
1. tusishuke daraja
2. tubebe europa au FA.
3. Tuwaombee liverkuku wabebe EPL
[emoji2]Feyenoord na PSV huko walipo wanatetemeka wakiwaza uwezekano wa kukutana na sisi au Inter. Wote wanaomba wakutane na Inter.
Mtakuwa hamjanielewa maana siyo level yenu ila ni kwamba kuna droo ya Champions League leo.
easy peasy fainali ni Ajax vs Man u 1-2 FT GGMUNjia ya kufika fainal
View attachment 3244081