Kumbe huyu kocha ni mjinga kiasi hiki. Baada ya red ya Dorgu kwa njia yoyote alitakiwa amtoe HUJLUND au ZIRKZEE wanaorukaruka pale mbele hata hawajui wanafanya nini. Badala yake anamtoa Garnacho ambaye ni hatari sana akiwa huku kushoto na siku hizi ame-improve kwa kross chonganishi. Jinga sana hili kocha kumbe.
Imetosha, tupunguzie hizi tabiri kabla ya kushuka darajaMy prediction
Manchester united 4 vs Ipswich 0
Tutapiga sana wale.
Paundi million 57 kwa ajili ya Andre Onana
Na huyo alieletewa huyo kipa nae alishindwa na mfumo wa kucheza kuanzia nyuma.Tulitaka kipa anayeweza kucheza na mpira, hahaha!
Vipi tena mbona mnamgeuka muhindi kocha la vikombeKumbe huyu kocha ni mjinga kiasi hiki. Baada ya red ya Dorgu kwa njia yoyote alitakiwa amtoe HUJLUND au ZIRKZEE wanaorukaruka pale mbele hata hawajui wanafanya nini. Badala yake anamtoa Garnacho ambaye ni hatari sana akiwa huku kushoto na siku hizi ame-improve kwa kross chonganishi. Jinga sana hili kocha kumbe.
Na huyo alieletewa huyo kipa nae alishindwa na mfumo wa kucheza kuanzia nyuma.
Ten hag ametushangaza
Eheee endelea na porojo zako.Ooh Arsenal wakipigwa red wanatepeta.
Mbuzi nyinyi hata dakika mbili hazijaisha washuka daraja wenzenu wamewabandua
Kama ni kurudisha mtu hapa anayeonekana ana akili kubwa angalao Mou.Yule mzee ni wa kufundisha westham na Cardiff
We punda si ulisema zakaria kakobe ni bonge la mchezaji
bora budo kuliko huyo mwanamielekaNyumbu ile hojlund mmetapeliwa pakubwa duuh๐๐๐...na mwenzake Joshua budo zirkzee( huyu naye mpk alitaka kushangilia goli la kujifunga la morsy๐..kufunga yeye kashindwa)
Netflix fcOoh Arsenal wakipigwa red wanatepeta.
Mbuzi nyinyi hata dakika mbili hazijaisha washuka daraja wenzenu wamewabandua
InjuryImefikia wakati tumpe nafasi Bayindir akae golini labda anaweza kufanya mambo ya msingi huku tukimalizia ligi tofauti na Onana!
This is too much..