Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Kumbe huyu kocha ni mjinga kiasi hiki. Baada ya red ya Dorgu kwa njia yoyote alitakiwa amtoe HUJLUND au ZIRKZEE wanaorukaruka pale mbele hata hawajui wanafanya nini. Badala yake anamtoa Garnacho ambaye ni hatari sana akiwa huku kushoto na siku hizi ame-improve kwa kross chonganishi. Jinga sana hili kocha kumbe.
Kocha ana kiwewe, hii timu itampa kichaa. Hii ya kumtoa Garna tena haraka haraka wakati angeweza kusubiri kipindi cha kwanza kiishe maana zilibaki dakika chache, hata mimi imenishangaza.
 
Kumbe huyu kocha ni mjinga kiasi hiki. Baada ya red ya Dorgu kwa njia yoyote alitakiwa amtoe HUJLUND au ZIRKZEE wanaorukaruka pale mbele hata hawajui wanafanya nini. Badala yake anamtoa Garnacho ambaye ni hatari sana akiwa huku kushoto na siku hizi ame-improve kwa kross chonganishi. Jinga sana hili kocha kumbe.
Vipi tena mbona mnamgeuka muhindi kocha la vikombe
 
Ooh Arsenal wakipigwa red wanatepeta.

Mbuzi nyinyi hata dakika mbili hazijaisha washuka daraja wenzenu wamewabandua
 
We punda si ulisema zakaria kakobe ni bonge la mchezaji
1000537432.jpg

Tumeanza ligi sasa tukiwa pungufu...👏👏View attachment 3250991
1000537443.jpg
 
Nyumbu ile hojlund mmetapeliwa pakubwa duuh😂😂😂...na mwenzake Joshua budo zirkzee( huyu naye mpk alitaka kushangilia goli la kujifunga la morsy😂..kufunga yeye kashindwa)
 
Imefikia wakati tumpe nafasi Bayindir akae golini labda anaweza kufanya mambo ya msingi huku tukimalizia ligi tofauti na Onana!
This is too much..
 
Nyumbu ile hojlund mmetapeliwa pakubwa duuh😂😂😂...na mwenzake Joshua budo zirkzee( huyu naye mpk alitaka kushangilia goli la kujifunga la morsy😂..kufunga yeye kashindwa)
bora budo kuliko huyo mwanamieleka
 
Back
Top Bottom