lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 12,661
- 26,457
Kumbe huyu kocha ni mjinga kiasi hiki. Baada ya red ya Dorgu kwa njia yoyote alitakiwa amtoe HUJLUND au ZIRKZEE wanaorukaruka pale mbele hata hawajui wanafanya nini. Badala yake anamtoa Garnacho ambaye ni hatari sana akiwa huku kushoto na siku hizi ame-improve kwa kross chonganishi. Jinga sana hili kocha kumbe.
Kocha ana kiwewe, hii timu itampa kichaa. Hii ya kumtoa Garna tena haraka haraka wakati angeweza kusubiri kipindi cha kwanza kiishe maana zilibaki dakika chache, hata mimi imenishangaza.