Kama kawaida yao Waingereza, mwendo huwa wanaumaliza mapema sana wanabaki kutembelea historia tu.
Na club yoyote ili iwe na mafanikio kwa zama hizi, hawa jamaa ni wa kuwaweka mbali kabisa au wawe squad players na sio starters.
Wanalewa sifa haraka mno siku hizi. Angalia saga la man utd na dogo Mainoo kwenye kuongeza mkataba.
[emoji30][emoji30][emoji30] Hizi nafasi za wazi tunazozipoteza tutakuja kuzijutia baada ya dakika 90 kumalizika.
Mazraoi na Zirkzee wamekosa magoli ya wazi mno, yaani mpaka dakika hii ubao ulikua unatakiwa usome Man Utd 3-0 Arsenyo.