Yeah, manazi wa Manutd...we have seen the some how disaappointing performance ya vijana wetu wa OT.
Game ya jana its look ieonesha ni jinsi gani unaeza kuwa na kikosi kinene lakini kikawa worthless...Saha (injury prone player-bora awe ball bay this days), Tevez (I heard alipata knock game ya j2 iliyopita na Ports), Hagro (uyu tumemnunua bei mbaya lakini duu...!), Manucho (aliumia game za Intern. dhidi ya Benin), Nani (kafungiwa), Carrick (ankle), Giggs (hamstring), Anderson yuko olympic China), Ronaldo (nasikia hadi december), Park (goti)..so u can image more than half ya first eleven iko wodini/hako jiji Manchester...
Enwei sio inshu sana ila i think we need Berba as soon as posible kabla ya kuwakabili Portsmouth..then i have concern about ROONEY!, sure for me the dude ananiboa sio siri!!, game ya jana kama sio hasira zake zisizokuwa na kichwa wala miguu may be angeweza kubadili matokeo, kijana hakui hata kidogo, na nahisi media za UK zinampa kichwa sana inafikia level anakuwa mbumbumbu...inabidi abadilike!
Wapinzani; Still 37 games to go!!