Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Looks like Man City wanatupiga bao......
Looks like Man City wanatupiga bao......
atleast mwishoni kijana kaamua kuja man utd...sasa we can say we are ready kutetea mataji yetu!kwa kuanzia tu hao liverpool weekend ijayo wakifuatiwa na chelsiiiii!!
now we hav got de mtambo wa kufumania nyavu!though man city walitaka kutuibia mwali siku ya ndoa...looh watoto hawana adabu kabsaa hao na hela zao za mashekh sijui ma ustadhi wa abu dhabi walionunua timu
Hawa Man City naona walianza kuleta ushenzi baada ya kushinda lottery eh!!! wanakosa adabu kwa wakubwa wao..Dawa yao huyu huyu Berba inabidi awafunge in style kama Nani alivyowafunga Spurs last season.
Ab Tichaz pole naona mmezidiwa dau!!
Hawa waarab walifanya jioni yangu ikawa mbofumbofu....now is time ya kula pilau, kumbe fingers crossing inasaidia...
Mkuu Ab Tichaz pole...mmekumbwa na vurugu za Abu Dhabi.
Ndugu zangu wa ANFIELD wajiandae kwa kipigo kama kawaida naskia GERARD & TORRES wote majeruhi
Hawa Man City naona walianza kuleta ushenzi baada ya kushinda lottery eh!!! wanakosa adabu kwa wakubwa wao..Dawa yao huyu huyu Berba inabidi awafunge in style kama Nani alivyowafunga Spurs last season.
Ab Tichaz pole naona mmezidiwa dau!!
Hawa waarab walifanya jioni yangu ikawa mbofumbofu....now is time ya kula pilau, kumbe fingers crossing inasaidia...
Mkuu Ab Tichaz pole...mmekumbwa na vurugu za Abu Dhabi.
Mkuu hadi jana jioni niliamini Berba anaenda Man City (si walikua wamepanda dau hadi 34m?) na Robinho kwa Bluz.....abracadabra!Sema Roya Roy,
Hata sielewi vipi tulipigwa bao na kushindwa kumyaka huyu ba-mdogo.
Yaani Man-City/waarabu walituzidi kete?...dayuummmmm!
Mkuu hadi jana jioni niliamini Berba anaenda Man City (si walikua wamepanda dau hadi 34m?) na Robinho kwa Bluz.....abracadabra!
Mkuu hadi jana jioni niliamini Berba anaenda Man City (si walikua wamepanda dau hadi 34m?) na Robinho kwa Bluz.....abracadabra!
Ila hapa hii chenga ya mwili waliopigwa Chelsea kiboko...ila huu mchezo ndop walitufanyia Chelsea kwa Obi Mikel....mkomage kuleta ufisadi kwa wenzenu.