Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Looks like Man City wanatupiga bao......
 
Looks like Man City wanatupiga bao......

Pole mtani Berba ameenda mtaa wa pili, wamarekani na ubahili wao? wanapatana kama Wabongo? Sasa tegemea upinzani mkali toka kwa Citeh waarabu wamesema Berba tisa tu List yao ya wachezaji wanaowataka itafata baadae wakiwemo Kaka na Messi na kwa bei yoyote ile??? KAZI IPO!!
 
Looks like Man City wanatupiga bao......

Yaap inawezekana mkapigwa bao...tena la kisigino maana waarabu wanakuja kwa kasi ya ajabu katika suala lazima la Berba,wako tayari kutoa paundi mil 30 ambayo MANURE wameigomea
 
Kutoa kitita sio tatizo, huyo Berba atataka kucheza Man City?
 
atleast mwishoni kijana kaamua kuja man utd...sasa we can say we are ready kutetea mataji yetu!kwa kuanzia tu hao liverpool weekend ijayo wakifuatiwa na chelsiiiii!!
now we hav got de mtambo wa kufumania nyavu!though man city walitaka kutuibia mwali siku ya ndoa...looh watoto hawana adabu kabsaa hao na hela zao za mashekh sijui ma ustadhi wa abu dhabi walionunua timu
 
Mwana Pilau tayari limeshapakuliwa Old Trafford, kuna mvua ya kufa mtu lakini waungwana bado tupo wamekomaa. Jamaa wapo kwenye chumba Berbertov na David Gill kijana kashaanguka tunasubiri kujua ni miaka mingapi na terms zinakwendaje

Glory! Glory Man Utd
 
Hawa Man City naona walianza kuleta ushenzi baada ya kushinda lottery eh!!! wanakosa adabu kwa wakubwa wao..Dawa yao huyu huyu Berba inabidi awafunge in style kama Nani alivyowafunga Spurs last season.

Ab Tichaz pole naona mmezidiwa dau!!
 
Hawa waarab walifanya jioni yangu ikawa mbofumbofu....now is time ya kula pilau, kumbe fingers crossing inasaidia...
Mkuu Ab Tichaz pole...mmekumbwa na vurugu za Abu Dhabi.
 
Ndugu zangu wa ANFIELD wajiandae kwa kipigo kama kawaida naskia GERARD & TORRES wote majeruhi
 
Hawa waarab walifanya jioni yangu ikawa mbofumbofu....now is time ya kula pilau, kumbe fingers crossing inasaidia...
Mkuu Ab Tichaz pole...mmekumbwa na vurugu za Abu Dhabi.

Hawa wote na hela zao za kifisadi wamezidiana kete lol....nahisi Abramovich amenuna kwa hasira tuu sasa hivi..."Money talks"

Ndugu zangu wa ANFIELD wajiandae kwa kipigo kama kawaida naskia GERARD & TORRES wote majeruhi

Walijitahidi kumfanyia Gerrard operation haraka haraka ili hawahi mechi na sisi sasa Torres naye alipata Hamstring juzi...Word on the net ni kuwa Liverpool iko kwenye crisis.
 
Hawa Man City naona walianza kuleta ushenzi baada ya kushinda lottery eh!!! wanakosa adabu kwa wakubwa wao..Dawa yao huyu huyu Berba inabidi awafunge in style kama Nani alivyowafunga Spurs last season.

Ab Tichaz pole naona mmezidiwa dau!!

Nambie mkuu,

kupoa tumepoa lakini wallahi tena hii season sio kama ya mwaka jana.
Things have to be different and they will be different!
 
Hawa waarab walifanya jioni yangu ikawa mbofumbofu....now is time ya kula pilau, kumbe fingers crossing inasaidia...
Mkuu Ab Tichaz pole...mmekumbwa na vurugu za Abu Dhabi.

Sema Roya Roy,

Hata sielewi vipi tulipigwa bao na kushindwa kumnyaka huyu ba-mdogo.
Yaani Man-City/waarabu walituzidi kete?...dayuummmmm!

Man City beat Chelsea to Robinho

_44978257_robinho226x170_4.jpg

Manchester City have beaten Chelsea to the signing of Brazilian forward Robinho from Real Madrid for a British record transfer fee of about £32.5m.

Chelsea had been chasing the 24-year-old but City have captured him on a four-year deal with a late bid.

"I am absolutely delighted to get the opportunity to work with such an incredible talent like Robinho," City boss Mark Hughes told the club website.

"This is a real statement of intent as to the ambitions of this club."

After missing out on Robinho Chelsea issued a statement saying they were unable to agree a deal with Real as they were not prepared to pay the Spanish club's asking price.

City made the audacious attempt to sign Robinho on transfer deadline day after earlier agreeing to a takeover by the Abu Dhabi United Group.

Hughes added: "I have said that in order to compete with the best teams in the Premier League we have to be in the market for players of this calibre, and Robinho is undoubtedly one of the best players in the world.

http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/teams/m/man_city/7593026.stm
 
Ingekuwa ni ujinga kuhama SPURS kwenda Man City timu yenyewe kila siku inauzwa hata GAUCHO aligoma kwenda
 
Sema Roya Roy,

Hata sielewi vipi tulipigwa bao na kushindwa kumyaka huyu ba-mdogo.
Yaani Man-City/waarabu walituzidi kete?...dayuummmmm!
Mkuu hadi jana jioni niliamini Berba anaenda Man City (si walikua wamepanda dau hadi 34m?) na Robinho kwa Bluz.....abracadabra!
 
Mkuu hadi jana jioni niliamini Berba anaenda Man City (si walikua wamepanda dau hadi 34m?) na Robinho kwa Bluz.....abracadabra!

Nd'o maana tunasema "we are keeping our fingers crossed"
Hawa waarabu sasa wamemwaga hela kibao huko kwa malkia.
Sasa Man-City wanafaidi kiulaini!
 
Mkuu hadi jana jioni niliamini Berba anaenda Man City (si walikua wamepanda dau hadi 34m?) na Robinho kwa Bluz.....abracadabra!

It will be tough to handle a striking force made up of Ronaldo, Rooney, Tevez
na sasa huyu Berba...kweli iko kazi msimu ujao!
 
Ila hapa hii chenga ya mwili waliopigwa Chelsea kiboko...ila huu mchezo ndop walitufanyia Chelsea kwa Obi Mikel....mkomage kuleta ufisadi kwa wenzenu.
 
Kenyon kweli kachoka ,nakumbuka alifanya zengwe usajili wa Forlan alikuwa anaenda Mido
akamleta OT
Usajili wa siku ya mwisho ni RISK imagine kama BERBATOV angeenda Man City mambo yangekuwa vipi OT
 
Ila hapa hii chenga ya mwili waliopigwa Chelsea kiboko...ila huu mchezo ndop walitufanyia Chelsea kwa Obi Mikel....mkomage kuleta ufisadi kwa wenzenu.

Hahahaa...wewe sasa naona unaleta za kibongobongo!

Nakubali tumepigwa chenga but we will realign our forces and set
up another strategy!
 
Back
Top Bottom