Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Berbatov anakuja duh watatukoma
........THERE IS ONLY ONE UNITED IN THE WORLD.......................
 
Berbatov anakuja duh watatukoma
........THERE IS ONLY ONE UNITED IN THE WORLD.......................

Safari hii nakwambia kuna watu wataweka mpira kwapani...to be honest Beba akikaa katikati na Rooney, kulia Tevez kushoto Ron...nyuma yao kuna pasi za akina 'Carrick na Ander zinamiminika' nakwambia msimu huu treble ileeeeeeeee!!
 
Yeah, manazi wa Manutd...we have seen the some how disaappointing performance ya vijana wetu wa OT.

Game ya jana its look ieonesha ni jinsi gani unaeza kuwa na kikosi kinene lakini kikawa worthless...Saha (injury prone player-bora awe ball bay this days), Tevez (I heard alipata knock game ya j2 iliyopita na Ports), Hagro (uyu tumemnunua bei mbaya lakini duu...!), Manucho (aliumia game za Intern. dhidi ya Benin), Nani (kafungiwa), Carrick (ankle), Giggs (hamstring), Anderson yuko olympic China), Ronaldo (nasikia hadi december), Park (goti)..so u can image more than half ya first eleven iko wodini/hako jiji Manchester...

Enwei sio inshu sana ila i think we need Berba as soon as posible kabla ya kuwakabili Portsmouth..then i have concern about ROONEY!, sure for me the dude ananiboa sio siri!!, game ya jana kama sio hasira zake zisizokuwa na kichwa wala miguu may be angeweza kubadili matokeo, kijana hakui hata kidogo, na nahisi media za UK zinampa kichwa sana inafikia level anakuwa mbumbumbu...inabidi abadilike!

Wapinzani; Still 37 games to go!!
 
the fact is jana mechi ya Newcastle you DROPPED two points against zero for arsenal,l pool na chelsea,huo ndio ukweli.
 
What i can say we need only STRIKER otherwise we have complete squad
The reason we have many injuries especialy in MIDFIED
 
Safari hii nakwambia kuna watu wataweka mpira kwapani...to be honest Beba akikaa katikati na Rooney, kulia Tevez kushoto Ron...nyuma yao kuna pasi za akina 'Carrick na Ander zinamiminika' nakwambia msimu huu treble ileeeeeeeee!!

Mmmmmh MANURE kwa kujifariji tu hamjambo!!!poleni sana kwa matokeo ya mechi na Newcastle shaanza kuachwa hivo....Arsenal.L'pool na Chelsea haooooooooooooooooooo
 
Mmmmmh MANURE kwa kujifariji tu hamjambo!!!poleni sana kwa matokeo ya mechi na Newcastle shaanza kuachwa hivo....Arsenal.L'pool na Chelsea haooooooooooooooooooo

Mkuu acha majigambo ya mapema hivyo,
Unatakiwa ujue kuwa "there is only one united in the world".
Kwani msimu uliopita ilikuwaje?tena mkachonga vibaya, ingawa ni kweli kuwa tulianza vibaya.
Tatizo ni majeruhi kibao tulionao lakini muda si mrefu tutaanza kushika kasi kama kawaida yetu hadi kubeba mwali.
Muhimu ni kuwa watoto wadogo arsenali hawatuwafikirii kutupa presha, liverpool kama kawaida yao ni wanyonge wetu nafasi yao ni ya nne kama kawaida.Chelsea angalau wanaonyesha kauhai, ila na wao vibabu vingi, ligi ikichanganya vinakuwa majeruhi vyote, hapo ndipo kiama chao kitakapoanzia.
Rekodi ya liverpool mwaka huu tunaikamata!
 
Berbatov anakuja duh watatukoma
........THERE IS ONLY ONE UNITED IN THE WORLD.......................

We acha tu! Mie sisemi, maana wakija majirani zetu hawakawii kuturushia mawe na kusema sie wa Trafford kongwe tunajigamba sana.
 
Its too early to rule us out....by the way nina hamu sana na Chelsea i wish twende tuka-wabikiri kwao, its look like hawa jmaa wanajiamini sana na to be honest wana good squad!

Big Phil..we are coming!!
 
Angalia kauli hiyo mkuu msijemkageuziwa kibao na kufanyiziwa nyie maana jaamaa(the blues) kikosi chao kinatisha sana,,,,,,hata hivyo 'football is the game of chance' mkuu
 
Umesikia Spurs walichosema....kama bei ya 30 Mills haitofikiwa basi wako radhi Berbatov aozee kwenye reserve lol....
 
Alieianzisha hii forum namfagilia mia kwa mia....!

BWana mi naipenda Man U sana, ikifungwa hamu ya kula sina...! Well, Bado sijarizika na safu ya foward ya Man U, inaonekana bado ni butu, tunamhitaji sana Babatov, jamani hata kwa mkopo tumchukue tu tutalipa baadae taratibu taratibu...!

Au ikibidi tumuuze Saha halafu tuongezee na fungu kidogo kwenye account yetu ili tumpate Babatov. Saha aende kwao ufaransa akaendee kuweka kalikiti nywele, kashachuja...!
 
Karib sana Mkuu,
Hapa umefika...hope u will be there against all odds...thats all about unazi, isn't it?
Kama hupendi kuugua vidonda vya tumbo kwa ajili ya soka, basi Man U must be the first in your list!
 
Hahahaha...nyie kweli m'na uzalendo but do I say...!
 
Its too early to rule us out....by the way nina hamu sana na Chelsea i wish twende tuka-wabikiri kwao, its look like hawa jmaa wanajiamini sana na to be honest wana good squad!

Big Phil..we are coming!!

Wewe sasa unakufuru....and guess what? We will be waiting.
 
Wewe sasa unakufuru....and guess what? We will be waiting.

Kwanza karibu sana Mkuu, ulipotea sn, nikuona kwa 'machale' sn kule kwenye jukwaa la Afrika Mashariki....dont tell me kuwa nightmare ya Moscow inakuandama till the date!{joke},!!

Asa Ab-Tchaz u know what?, hamu ya mnazi yeyote wa Liva msimu huu najua ni walau 'kujaribu' kuifunga Manutd...na vile vile kwa sisi mashetani hamu yetu kubwa ni kuwatungua nyie kwenu....!, lets wait and see!

By the way naona kurud kwa Anderson kumeamsha dimba la kati kidogo, na dili la Beba looks like mizengwe ya EPA/Richmond!!, Ramos anataka ten percent nini nae ka #$@%? wetu?
 
Kama kawaida, mafisadi wa Premier League wanajulikana. Lazima kuwe na controversial decisions katika mechi zote za Man Utd, halafu zote zinawafeva wao, why?
 
Kama kawaida, mafisadi wa Premier League wanajulikana. Lazima kuwe na controversial decisions katika mechi zote za Man Utd, halafu zote zinawafeva wao, why?

Hmm yani mechi ya pili tuu mshaanza!!! wengine wamesha turule out....Kuna kazi mwaka huu...
 
Hmm yani mechi ya pili tuu mshaanza!!! wengine wamesha turule out....Kuna kazi mwaka huu...

Mkuu hawa watakua wapole kwa kuona Man U kabeba ndoo zote, si ni kawaida kuwa na visingizio mapema? Refarii, viwanja, uchovu, majeruhi...
 
Back
Top Bottom