kule kwenu vipi mkubwa? naona jana mlisimama de de!

...Nziku na wenzio mpo wapi leo, au mnashangilia kwanza ndio mje kuanza fujo zenu za ushindi leo,...haya, naona mpaka sasa hivi mnaongoza 4-0!!! mwaka wenu tena huu...
 
...Nziku na wenzio mpo wapi leo, au mnashangilia kwanza ndio mje kuanza fujo zenu za ushindi leo,...haya, naona mpaka sasa hivi mnaongoza 4-0!!! mwaka wenu tena huu...

Mbu tupe kama nusu saa hivi tunakuja
 
Mkuu Mbu si umeona vijana wanavyofanya mambo? Jmosi tutamfanyia Everton then tunakula kuku kwa mrija weekend. Tehe tehe ze Man U 4ever.
 
1. Man Utd 22 15 5 2 50
2. Liverpool 22 13 8 1 47
3. Aston Villa 23 14 5 4 47
4. Chelsea 22 13 6 3 45
5. Arsenal 22 12 5 5 41
6. Everton 22 10 6 6 36
 
yaani ManU mnabebwa hata kwenye mechi ya watoto kama West Brom.........basi tena
 
yaani ManU mnabebwa hata kwenye mechi ya watoto kama West Brom.........basi tena

Haya ni maneno ya mwenye busara anayekubali kushindwa...kudos Ogah.

Man U mambo mswano tu...si mnaona walivyoikata ile GD ya Bluz. Sasa Man U anaongoza kwa kila kitu including GD ya 29!
 
Is it allowed to quote ur own post?

If yes, then this is what i was talking about!

It is not over till its over!
 
Icadon, Manda, Mkandara & Roya Roy

....hongereni sana wazee....pamoja na mapungufu ya vinara ndani ya timu yenu......you really displayed good football against Everton today........congrats
 
Leo tuombee jamaa watoe draw tuendelee kuwaacha
 
Bado dk 20... mtu mzima (Giggs) kashaweka kitu wavuni...
Just hoping for things to end like this.
BTW: Naona ganaz wanatangaza kujitoa kwenye race ya ubingwa (au washatangaza kabla ya leo?)....hopefully bluz nao watatangaza soon.
 
Tumewachapa hawa viburi duh! raha kweli, Westham 0 1 Man U Full Time. Hongera zetu.
 
Hureee!!!Man U wameondoka na point tatu tayari. Mpira umekwisha tayari!!!

Cheers wapenzi wa Man U!!!

Tiba
 
Bado dk 20... mtu mzima (Giggs) kashaweka kitu wavuni...[/FONT]
Just hoping for things to end like this.
BTW: Naona ganaz wanatangaza kujitoa kwenye race ya ubingwa (au washatangaza kabla ya leo?)....hopefully bluz nao watatangaza soon.
Gunners hata top 4 sijui kama wataigusa The Bluez bora wangemwacha yule Muisrael (GRANT) kuliko SCOLARI
Wakitolewa Champs league naona jamaa atarudi Brazil kufundisha Flamingo
 
Man u wana kila sababu ya kuchukua ubingwa,kikubwa majeruhi hamna pia maelewano na imani kwa kocha
 
Man u wana kila sababu ya kuchukua ubingwa,kikubwa majeruhi hamna pia maelewano na imani kwa kocha

Mkuu majeruhi tunao tena watu muhimu sana kwa kipindi hiki cha March to May, kumbuka pengo la Evra halijazibika vema. Owen Hangreves anahitajika sana sijui atapona lini, Wes Brown pia ni muhimu angekuwepo kwani Ferdinad si mzima sana siku hizi. Hata hivyo huu ni mwaka wa ushindi ikiwezekana vikombe vitatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…