Nemesis
JF-Expert Member
- Feb 13, 2008
- 5,517
- 4,477
...😀 te he he... washabiki wa timu hii mnaniacha hoi kweli!
kule kwenu vipi mkubwa? naona jana mlisimama de de!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...😀 te he he... washabiki wa timu hii mnaniacha hoi kweli!
kule kwenu vipi mkubwa? naona jana mlisimama de de!
...Nziku na wenzio mpo wapi leo, au mnashangilia kwanza ndio mje kuanza fujo zenu za ushindi leo,...haya, naona mpaka sasa hivi mnaongoza 4-0!!! mwaka wenu tena huu...
Mbu tupe kama nusu saa hivi tunakuja
yaani ManU mnabebwa hata kwenye mechi ya watoto kama West Brom.........basi tena
yaani ManU mnabebwa hata kwenye mechi ya watoto kama West Brom.........basi tena
Hodi jamani!
I really miss this jukwaa, narudi nakutana na Member wengine wapya na changamoto maridhawa..ila kwa Member wapya jaman mtakuwa-sustainable au ndio walewale wa 'msimu'..!
Naona ligi imeshaanza 'kunoga'...nafikiri mda si mwingi tutanza kunena kwa Lugha zetu, labda tu nitoe angalisho kwa Wapinzani wetu wa Tittle(excl. Arsenal)..kuwa MSITHUBUTU KUTUACHIA TUKAE KILELENI!, Mark my words fellas..!
Leo tuombee jamaa watoe draw tuendelee kuwaacha
Gunners hata top 4 sijui kama wataigusa The Bluez bora wangemwacha yule Muisrael (GRANT) kuliko SCOLARIBado dk 20... mtu mzima (Giggs) kashaweka kitu wavuni...[/FONT]
Just hoping for things to end like this.
BTW: Naona ganaz wanatangaza kujitoa kwenye race ya ubingwa (au washatangaza kabla ya leo?)....hopefully bluz nao watatangaza soon.
Man u wana kila sababu ya kuchukua ubingwa,kikubwa majeruhi hamna pia maelewano na imani kwa kocha