Gunners hata top 4 sijui kama wataigusa The Bluez bora wangemwacha yule Muisrael (GRANT) kuliko SCOLARI
Wakitolewa Champs league naona jamaa atarudi Brazil kufundisha Flamingo
Msimu huu naona GIGGS ndio anafaa kucheza kati hasa kwenye game kubwa then Ronaldo na Park wacheze pembeni
Jamaa miaka 35 but anakimbiza utafikiri ndio ana miaka 20 kwa sasa ni mmojawapo ya Ma-legend katika football ingawa hajawahi kupata mafanikio katika timu ya taifa
Anafaa kuwa daraja moja na kina Del Piero,Maldini,Raul,Zanneti
wakati tukiwa tunaongeza kwa goli lililofungwa na Paul Scholes, tunakumbuka historia "United have not lost a league game in which Paul Scholes has scored since 2001." Hivyo tunaweza sema mechi ya leo tunashinda pia. Bravo Man U.
Mkuu majeruhi tunao tena watu muhimu sana kwa kipindi hiki cha March to May, kumbuka pengo la Evra halijazibika vema. Owen Hangreves anahitajika sana sijui atapona lini, Wes Brown pia ni muhimu angekuwepo kwani Ferdinad si mzima sana siku hizi. Hata hivyo huu ni mwaka wa ushindi ikiwezekana vikombe vitatu.
Man U 2 : 1 Bluckburn, congrats Man United.
Club bingwa ya dunia hiyo-Man U 2 : 1 Bluckburn, congrats Man United.
Pamoja na yule refa kukataa goli la Evans ambalo lilikuwa halali but Ronaldo akawanyamazisha
Nasikia dogo Evans kaumia hiyo J4 sijui itakuwaje ,hivi Brown bado majaeruhi?
kama kweli dogo kaumia hilo ni pengo kubwa, Wes Brown bado hajapona na yule Mcanada (Owen Hangreves) bado hajapona. Itabidi Vidic na Oshea wakomae. Pia Anderson anaweza kucheza nafasi zote.
kama kweli dogo kaumia hilo ni pengo kubwa, Wes Brown bado hajapona na yule Mcanada (Owen Hangreves) bado hajapona. Itabidi Vidic na Oshea wakomae. Pia Anderson anaweza kucheza nafasi zote.
Kikosi kilichoenda ni;
Travelling squad
Goalkeepers: Van der Sar, Foster, Kuszczak.
Defenders: Ferdinand, Evra, O'Shea, Evans, Fabio, Eckersley.
Midfielders: Giggs, Park, Carrick, Nani, Scholes, Possebon, Gibson, Fletcher, Ronaldo.
Forwards: Rooney, Berbatov, Tevez, Welbeck.
Kwa hiyo hata Rafa hajaenda...so Oshea is likely akapga kati na Rio then Eckersley akacheza mbili!...duh mbona mtihani!?