Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,897
- 10,213
Gunners hata top 4 sijui kama wataigusa The Bluez bora wangemwacha yule Muisrael (GRANT) kuliko SCOLARI
Wakitolewa Champs league naona jamaa atarudi Brazil kufundisha Flamingo
Haya tulishatabiri kuwa jamaa atatimuliwa ila naona wamewahi kumtimua