Manchester United (Red Devils) | Special Thread
bbc sports.

Rooney ana kadi nyekundu, Tevez nahisi bado yuko njiani toka huko South America na akifika atakuwa kachoka kichizi.Nice weekend...(genuinely)

Tatizo kubwa lifakuwa ni striker but naamini Ronaldo atatubeba
 
Kuna kazi kubwa kesho..Mana leo najua liver wakalia usukani wa Ligi...Kesho ntakuwa mbali na tv nipate baridiiii kupoza kichwa na mawazo ya majeruhi na kadi hizo!
 
kesho jama tuta pata 3 muhimu tuna wa 3 na kadi foward baba majeruhi niambieni wanangu
 
Mechi ya kesho kati ya MANU na AV itakuwa nzuri sana maana MANU walichapwa mechi mbili za mwisho na AV walichapwa 5 bila na L'pool. Itakuwa mechi yenye ushindani wa hali ya juu. I hope referee hatatoa penalty zisizokuwa na kichwa wala miguu na pia kadi nyekundu.
 
Ni kweli kwamba mechi ya leo itakuwa ngumu sana hasa kwetu (Man U) kutokana na ukweli kwamba striker aliyepo ni mmoja tu yaani Welback. Hata hivyo naamini SAF atakipanga kikosi chake vizuri sana, anaweza kumchezesha Flecher 7, Ronaldo 8, Welback 9, Park 10 na Giggs 11. Giggs akishachoka Welback au Park atakwenda 11 na Anderson ataingia kucheza 8. Nyuma hakuna matata licha ya kutokuwepo Vidik na Rafa.
 
Leo naona mtu atakayetubeba ni World Player of the Year
 
Ndio tegemeo katika kuunda mashambulizi..lolote laweza kutokea Naamini babu atatumia uzoefu kulinda heshima ya Uwanja wa nyumbani..tumetosheka na vichapo vya mfululizo...
 
Kuna kazi kubwa kesho..Mana leo najua liver wakalia usukani wa Ligi...Kesho ntakuwa mbali na tv nipate baridiiii kupoza kichwa na mawazo ya majeruhi na kadi hizo!

Senator...abadilisha avatar yangu in a few minutes
 
Leo kazi ipo nimeona list ya leo Rio Ferdinand hayupo, kwenye sub wamejaa watoto tupu

MANCHESTER UNITED v ASTON VILLA LINE-UPS

Man Utd: Van der Sar, Neville, O'Shea, Evans, Evra, Nani, Carrick, Fletcher, Ronaldo, Giggs, Tevez.
Subs: Foster, Park, Welbeck, Gibson, Martin, Macheda, Eckersley.
Aston Villa: Friedel, Luke Young, Cuellar, Davies, Shorey, Milner, Petrov, Barry, Ashley Young, Carew, Agbonlahor.
Subs: Guzan, Delfouneso, Knight, Salifou, Reo-Coker, Gardner, Albrighton.
 
Haya kindumbwendumbwe cha MANU na AV ndiyo hichooo 🙂
 
Leo kazi ipo nimeona list ya leo Rio Ferdinand hayupo, kwenye sub wamejaa watoto tupu

MANCHESTER UNITED v ASTON VILLA LINE-UPS
Man Utd: Van der Sar, Neville, O'Shea, Evans, Evra, Nani, Carrick, Fletcher, Ronaldo, Giggs, Tevez.
Subs: Foster, Park, Welbeck, Gibson, Martin, Macheda, Eckersley.
Aston Villa: Friedel, Luke Young, Cuellar, Davies, Shorey, Milner, Petrov, Barry, Ashley Young, Carew, Agbonlahor.
Subs: Guzan, Delfouneso, Knight, Salifou, Reo-Coker, Gardner, Albrighton.
Hiyo timu iliyopo ndani tosha sana asipoumia mtu ama kulimwa nyekundu.
Dakika 10 sasa 0-0, twende kazi.
 
Ronaldo anapata bao la kwanza
 
...hodi humu ndani!

kulikoni, mbona 1 - 1 tena ilhali 'mcheza kwao hutunzwa?'
 
Good half of football, we were lucky to go ahead. Villa did well to keep their composure and were easily the better side kusema ukweli. If we don't sort out our defending, Villa will score at least once more na we will be in a deep shit.
 
...msijali, nawaombea msifungwe leo!
 
Back
Top Bottom