Manchester United (Red Devils) | Special Thread
...msijali, nawaombea msifungwe leo!
Tusifungwe au tusishindwe? Kama kufungwa tulishafungwa na chenga twaliwa vilevile. Hata hivyo maombi yako yana-balance-wa na maombi kibao ya wanaoomba tushindwe.
Twende uwanjani tena.
 
Tusifungwe au tusishindwe? Kama kufungwa tulishafungwa na chenga twaliwa vilevile. Hata hivyo maombi yako yana-balance-wa na maombi kibao ya wanaoomba tushindwe.
Twende uwanjani tena.

haya mshaongezewa cha pili, hamna shukrani nyie?
 
haya mshaongezewa cha pili, hamna shukrani nyie?

Mambo hayo! Kupoteza mechi ya tatu mfululizo kwa MANU si kitu cha kawaida. Namuona SAF ndiyo kakazana kutafuna ile BIG G yake asije kutafuna ulimi tu 🙂
 
Man Ut Vs Aston Villa

Dakika ni ya 66

Aston Vila 2, Man Utd 1. So far Man Utd is second best
 
mambo hayo! Kupoteza mechi ya tatu mfululizo kwa manu si kitu cha kawaida. Namuona saf ndiyo kakazana kutafuna ile big g yake asije kutafuna ulimi tu 🙂

ccm.... Ccm.......... Ccm.... Ccm........... Adui sie twamwombea njaa tu yakhe
 
BUT THE DEVILS ARE NOW REALLY DEVILS they attack like LIverpool aisee
 
- Duh! Dakika ya 70, washakula 2 tayari sasa ngoja nikatambike Miungu yangu hawa MaU washindwe na walegee, huu uwe mwaka wa Liver wazee wa bwawa!

Respect

FMES
 
BUT THE DEVILS ARE NOW REALLY DEVILS they attack like LIverpool aisee

...nakukumbusha tu, April 21 ni

Arsenal​
Vs Liverpool

tuendeee na Man U...🙂 wamesawazisha
 
- Duh! Dakika ya 70, washakula 2 tayari sasa ngoja nikatambike Miungu yangu hawa MaU washindwe na walegee, huu uwe mwaka wa Liver wazee wa bwawa!

Respect

FMES

...mapema mno mkuu, Ronaldo keshaziona tena nyavu! wale waliokuwa wanatoka uwanjani wanarudi!
 
aaaaaaaaahhhhhhhhhhhh hata bia ishakuwa feki
 
Dakika ya 80 Ronaldo anafunga bao 2-2
 
But they always say never write off manure.... TUNAAMINI KWA VITENDO
 
Aston Villa naona wameanza kucrack. man U wanaweza shinda mechi hii
 
Back
Top Bottom