bbc sports.
Rooney ana kadi nyekundu, Tevez nahisi bado yuko njiani toka huko South America na akifika atakuwa kachoka kichizi.Nice weekend...(genuinely)
Kuna kazi kubwa kesho..Mana leo najua liver wakalia usukani wa Ligi...Kesho ntakuwa mbali na tv nipate baridiiii kupoza kichwa na mawazo ya majeruhi na kadi hizo!
Hiyo timu iliyopo ndani tosha sana asipoumia mtu ama kulimwa nyekundu.Leo kazi ipo nimeona list ya leo Rio Ferdinand hayupo, kwenye sub wamejaa watoto tupu
MANCHESTER UNITED v ASTON VILLA LINE-UPS
Man Utd: Van der Sar, Neville, O'Shea, Evans, Evra, Nani, Carrick, Fletcher, Ronaldo, Giggs, Tevez.
Subs: Foster, Park, Welbeck, Gibson, Martin, Macheda, Eckersley.
Aston Villa: Friedel, Luke Young, Cuellar, Davies, Shorey, Milner, Petrov, Barry, Ashley Young, Carew, Agbonlahor.
Subs: Guzan, Delfouneso, Knight, Salifou, Reo-Coker, Gardner, Albrighton.
Hiyo timu iliyopo ndani tosha sana asipoumia mtu ama kulimwa nyekundu.
Dakika 10 sasa 0-0, twende kazi.
Ndio Hivyo ingekuwa hatuzwi ingekuwa 0-1, au sio?...hodi humu ndani!
kulikoni, mbona 1 - 1 tena ilhali 'mcheza kwao hutunzwa?'
Good half of football, we were lucky to go ahead. Villa did well to keep their composure and were easily the better side kusema ukweli. If we don't sort out our defending, Villa will score at least once more na we will be in a deep shit.