Tusifungwe au tusishindwe? Kama kufungwa tulishafungwa na chenga twaliwa vilevile. Hata hivyo maombi yako yana-balance-wa na maombi kibao ya wanaoomba tushindwe....msijali, nawaombea msifungwe leo!
Tusifungwe au tusishindwe? Kama kufungwa tulishafungwa na chenga twaliwa vilevile. Hata hivyo maombi yako yana-balance-wa na maombi kibao ya wanaoomba tushindwe.
Twende uwanjani tena.
haya mshaongezewa cha pili, hamna shukrani nyie?
mambo hayo! Kupoteza mechi ya tatu mfululizo kwa manu si kitu cha kawaida. Namuona saf ndiyo kakazana kutafuna ile big g yake asije kutafuna ulimi tu 🙂
...Matokeo??
BUT THE DEVILS ARE NOW REALLY DEVILS they attack like LIverpool aisee
Ronaldo 2 villa 2BUT THE DEVILS ARE NOW REALLY DEVILS they attack like LIverpool aisee
- Duh! Dakika ya 70, washakula 2 tayari sasa ngoja nikatambike Miungu yangu hawa MaU washindwe na walegee, huu uwe mwaka wa Liver wazee wa bwawa!
Respect
FMES
Mpira bado unaendelea, dakika ya 69 sasa:
Man u: 1 (Ronaldo), Aston Villa 2 (J. Curew na Gabby).
We have a title race...
aston villa naona wameanza kucrack. Man u wanaweza shinda mechi hii