Saikosisi
JF-Expert Member
- May 4, 2007
- 528
- 34
Oh hooooo naona nyumba ya mabua ya Manure inaungua..
Manure 0 Tott'ham 2
naona manchester wamechoka kabla ya msimu kuisha... wanakuwa kama watoto wadogo wa gunners! au ndio uzee!
wanacheza nare nare kweli mpaka yakatisha tamaa, ila we expect to see more in the 2nd half! at least draw, possibly tutawachapa tottenham nao ni mdebwedo basi tu wameotea!